Hivi ni kweli kileleni mwa mlima Kilimanjaro kuna shimo?

Hivi ni kweli kileleni mwa mlima Kilimanjaro kuna shimo?

Unavutwa na kunasa wapi??
Hutumii Hata akili ndogo ya kujiuliza waliofika kilele cha mlima mbona walirudi salama!!
Acha kujibu kama unajua sana ile ndege ilonasa hapo ilivutwa na nini
 
Nnachokifaham, pale kileleni kwenye usawa wa juu kabisa wa mlima, hakuna shimo eneo hilo isipokua
unaweza kuona kwa mbali duara eneo lililopo hilo unaloliita shimo, ni njia ambayo ule ujiuji ulitokea hapo kutoka ardhini wakati wa volcano, ni kama kidonda kilichopona lakini hakikufunga, kuna uwazi. Nilitamani sana kwenda karibu na hilo eneo ila nilichoka mno hata kufika Uhuru peak ilikua bahati.


Hayo ya maji ya moto watakuja wataalam.
Mkuu uliwahi kuupanda mlima
 
Acha kujibu kama unajua sana ile ndege ilonasa hapo ilivutwa na nini
Ndege gani hiyo??
Lini?? Na mwaka gani?? Weka picha. No evidence no right to speak.
Na unavosema ilivutwa means kuna kani kama ya sumaku, wangapi wamefika na kuvutwa na kupotelea huko??
Usijitie baraka kujua kumbe ni kama mimi tu
 
itakuaje nikizama kwenye hilo shimo la mlima, inamaana ndio nitadumbukia hadi chini kabisa ya mlima ground zero
Ndiooooo.si unajua dunia duara.
Na vilcano ni uji uji wa moto uliopo katikati ya dunia.ile ni njia yake.
 
Back
Top Bottom