Hivi ni kweli kileleni mwa mlima Kilimanjaro kuna shimo?

Hivi ni kweli kileleni mwa mlima Kilimanjaro kuna shimo?

Mtoa mada ameuliza swali zuri sana ila nashangaa watu wanamjibu kwa kejeli. Naona kuna kitu kikubwa kwa taifa kujifunza kutokana na swali lake maana hata picha zinaonesha kuwa kuna shimo pale juu kileleni. Wanasayansi na wataalamu wa miamba na geology mtunyooshee maelezo kuna elimu ya kisayansi tungependa kujua
 
Unavutwa na kunasa wapi??
Hutumii Hata akili ndogo ya kujiuliza waliofika kilele cha mlima mbona walirudi salama!!
Halafu wewe badilisha hiyo simu sasa hivi tuko Galaxy S7 edge (jokes)
 
Poleni na mihangaiko ya hapa na pale pamoja na manung'uniko yanayoendelea kuhusu makenikia.
Husika na kichwa cha habari hapo juu tangu napata akili hadi sasa kumekuwa na maneno kuhusu mlima kilimanjaro kuwa pale juu kileleni kuna shimo ndefu sana na inavyosemekana ndani ya shimo kuna maji na nguvu ya mvutano kiasi kwamba ukikaribia kufika hapo unavutwa na kunasa..
Wajuzi naomba kujuzwa je? Kuna ukweli wowote?
Mkuu kilele cha mlima Kilimanjaro Kuna kitu kinaitwa " crater" crater ni ni shimo linalotokea juu ya mlima wakati [emoji291] volcanic eruption, maana yake wakati mlima unalipuka zaidi ya miaka milioni mbili iliyopita hiyo ilikuwa kama escaping route ya volcano iliyochemka chini ya ardhi. Kwa kawaida volcano ikichemka Sana huwa inatafuta week point ili ku release pressure chini ya ardhi.
Kidogo kidogo utaelewa [emoji1] [emoji1]
 
Poleni na mihangaiko ya hapa na pale pamoja na manung'uniko yanayoendelea kuhusu makenikia.
Husika na kichwa cha habari hapo juu tangu napata akili hadi sasa kumekuwa na maneno kuhusu mlima kilimanjaro kuwa pale juu kileleni kuna shimo ndefu sana na inavyosemekana ndani ya shimo kuna maji na nguvu ya mvutano kiasi kwamba ukikaribia kufika hapo unavutwa na kunasa..
Wajuzi naomba kujuzwa je? Kuna ukweli wowote?
Mkuu kilele cha mlima Kilimanjaro Kuna kitu kinaitwa " crater" crater ni ni shimo linalotokea juu ya mlima wakati wa [emoji291] volcanic eruption, maana yake wakati mlima kilimanjaro unalipuka zaidi ya miaka milioni mbili iliyopita hiyo ilikuwa kama escaping route ya volcano iliyochemka chini ya ardhi. Kwa kawaida volcano ikichemka Sana huwa inatafuta week point ili ku release pressure chini ya ardhi. Sasa kawaida huwa inaacha kishimo ambacho kitaalam tunaita crater
Kidogo kidogo utaelewa [emoji1] [emoji1]
 
Shimo lipo pale panaitwa creter,,ukipita njia ya kialia machame ndio utapapita hapo creter vzr zaid kuliko mtu anaepitia njia ya marangu,,ila kuna barid sana kwa kwel,,sana sana sanaaaaaa..... Nadhan mto uzi ameuliza vzr tu ili kujua sasa ukimwambia akapande sidhan km ni jibu la uhakika sana alilolitegemea
Creter
 
Nnachokifaham, pale kileleni kwenye usawa wa juu kabisa wa mlima, hakuna shimo eneo hilo isipokua
unaweza kuona kwa mbali duara eneo lililopo hilo unaloliita shimo, ni njia ambayo ule ujiuji ulitokea hapo kutoka ardhini wakati wa volcano, ni kama kidonda kilichopona lakini hakikufunga, kuna uwazi. Nilitamani sana kwenda karibu na hilo eneo ila nilichoka mno hata kufika Uhuru peak ilikua bahati.

Hayo ya maji ya moto watakuja wataalam.
Mkuu umenikumbusha mbali sana.... Mimi niliishia giliman's point...Kama ukitumia get ila marangu. Tena hapo mapafu yote na ulimi vilikuwa nje.... Nilipouliza tour guide wangu akasema ni kwa sababu Jana yake nilikuwa nimepata biere na nilikuwa natembea speed sana kutokea horombo kwenda kibo.

Ntarudi tena kule mpaka nifike uhuru.
 
Shimo lipo. Linaitwa crater. Kama unataka kuliona pasipo kufika hapo, download GOOGLE EARTH utalii nayo ujionee palivyo. Mzungu kashaturahisishia kila kitu. Unatalii tuu kupitia kiganja cha mikono yako au computer yako
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana.... Mimi niliishia giliman's point...Kama ukitumia get ila marangu. Tena hapo mapafu yote na ulimi vilikuwa nje.... Nilipouliza tour guide wangu akasema ni kwa sababu Jana yake nilikuwa nimepata biere na nilikuwa natembea speed sana kutokea horombo kwenda kibo.

Ntarudi tena kule mpaka nifike uhuru.

Tulipita Machame, kufika Stela Point nilikua hoi siwezi hata kusogeza mguu. Mbaya zaidi ukishafika pale unapaona kabisa Uhuru Peak, tambarare hakuna mlima mkali sana, lakini ile hali yahewa kule juu inakufanya usiwe comfortable kabisa.
Nikawaza, sasa nikiishia hapa ntaenda kusema kwanini sijafika kileleni? Nikajipa moyo taratibu huku mgumu ananishikilia ila kila dakika tano nakaa nafikiri ile hali niliyokuwa najisikia ni mfano wa mjamzito....kichfchef na kutojielwa vizuri

Nilifika pale kileleni wanapiga picha ila hoi vibaya mno, mandhari ya kule juu inafuta uchovu wote na kukuliwaza baada ya kazi ngumu.

Pole sana kwa sababu ulipoishia ni karibu sana na mwisho wa safari. Siku ukienda, jitahidi kula vizuri ule usiku wa mwisho, ile safari ukiwa na njaa au umechoka hautoboi. Ni siku pekee mnatembea masaa mengi, usiku na mlima mkali sana. Mnaanza saa tano usiku hadi kufika kileleni asubuhi kutegemea na mwendo wenu. Tulifika saa tatu asubuhi.

Kila la kheri mkuu
 
Tulipita Machame, kufika Stela Point nilikua hoi siwezi hata kusogeza mguu. Mbaya zaidi ukishafika pale unapaona kabisa Uhuru Peak, tambarare hakuna mlima mkali sana, lakini ile hali yahewa kule juu inakufanya usiwe comfortable kabisa.
Nikawaza, sasa nikiishia hapa ntaenda kusema kwanini sijafika kileleni? Nikajipa moyo taratibu huku mgumu ananishikilia ila kila dakika tano nakaa nafimiri ile hali niliyokuwa najisikia ni mfano wa mjamzito....

Nilifika pale kileleni wanapiga ila hoi vibaya mno, mandhari ya kule juu inafuta uchovu wote na kukuliwaza baada ya kazi ngumu.

Cha kushangaza kila unavyozidi kushuka ndo Hali inavyozidi kuwa nzuri... Yaani nilifika pale kibo mzima wa afya, nikatamani nirudi lakini haiwezekan. Kuna kitu kinaitwa height fever Kama sikosei,... Ndo inampata mpanda mlima yeyote.
 
Tulipita Machame, kufika Stela Point nilikua hoi siwezi hata kusogeza mguu. Mbaya zaidi ukishafika pale unapaona kabisa Uhuru Peak, tambarare hakuna mlima mkali sana, lakini ile hali yahewa kule juu inakufanya usiwe comfortable kabisa.
Nikawaza, sasa nikiishia hapa ntaenda kusema kwanini sijafika kileleni? Nikajipa moyo taratibu huku mgumu ananishikilia ila kila dakika tano nakaa nafimiri ile hali niliyokuwa najisikia ni mfano wa mjamzito....

Nilifika pale kileleni wanapiga ila hoi vibaya mno, mandhari ya kule juu inafuta uchovu wote na kukuliwaza baada ya kazi ngumu.

Pole sana kwa sababu ulipoishia ni karibu sana na mwisho wa safari. Siku ukienda, jitahidi kula vizuri ule usiku wa mwisho, ile safari ukiwa na njaa au umechoka hautoboi. Ni siku pekee mnatembea masaa mengi, usiku na mlima mkali sana. Mnaanza saa tano usiku hadi kufika kileleni asubuhi kutegemea na mwendo wenu. Tulifika saa tatu asubuhi.

Kila la kheri mkuu
Yaani toka saa tano usiku mpaka saa tatu asubuhi mnatembea tena kwa kupanda mlima?? Mi nafanya mazoezi nafikiri naweza mudu ila ni shughuli moja pevu yaonekana!
 
Kuna shimo kaka tena moja lipo kileleni na jingine kwa ubavuni kdg just 50 MTS. Toka shimo kuu. hakyna kuvutwa ila upepo in mkali hawashauri kufika pale unaweza kuteleza kuangukia ndani.nimeshawahi kufika km x5 hivi.
Mkuu mbona inasemekana kuna ndege iliwahi kuvutwa ikanasa mpaka sasa imefunikwa na barafu vipi kuna ukweli wowote?
 
Back
Top Bottom