Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaa ni kweli mkuu uko sahihiShimo lipo pale panaitwa creter,,ukipita njia ya kialia machame ndio utapapita hapo creter vzr zaid kuliko mtu anaepitia njia ya marangu,,ila kuna barid sana kwa kwel,,sana sana sanaaaaaa..... Nadhan mto uzi ameuliza vzr tu ili kujua sasa ukimwambia akapande sidhan km ni jibu la uhakika sana alilolitegemea
Cha kushangaza kila unavyozidi kushuka ndo Hali inavyozidi kuwa nzuri... Yaani nilifika pale kibo mzima wa afya, nikatamani nirudi lakini haiwezekan. Kuna kitu kinaitwa height fever Kama sikosei,... Ndo inampata mpanda mlima yeyote.
Umeshinda wewe maana huenda wote hatujuiNdege gani hiyo??
Lini?? Na mwaka gani?? Weka picha. No evidence no right to speak.
Na unavosema ilivutwa means kuna kani kama ya sumaku, wangapi wamefika na kuvutwa na kupotelea huko??
Usijitie baraka kujua kumbe ni kama mimi tu
Nadhani wewe ni miongoni wa wanaonielewa ila kuna watu humu wanajibu tuu alimradi waonekane kuwa wame coment siku ya leoMtoa mada ameuliza swali zuri sana ila nashangaa watu wanamjibu kwa kejeli. Naona kuna kitu kikubwa kwa taifa kujifunza kutokana na swali lake maana hata picha zinaonesha kuwa kuna shimo pale juu kileleni. Wanasayansi na wataalamu wa miamba na geology mtunyooshee maelezo kuna elimu ya kisayansi tungependa kujua
Shukrani mkuu barikiwa babaMkuu kilele cha mlima Kilimanjaro Kuna kitu kinaitwa " crater" crater ni ni shimo linalotokea juu ya mlima wakati [emoji291] volcanic eruption, maana yake wakati mlima unalipuka zaidi ya miaka milioni mbili iliyopita hiyo ilikuwa kama escaping route ya volcano iliyochemka chini ya ardhi. Kwa kawaida volcano ikichemka Sana huwa inatafuta week point ili ku release pressure chini ya ardhi.
Kidogo kidogo utaelewa [emoji1] [emoji1]
Mkuu wao wanasema kuwa juu kuna kilele halafu kina volcano,ukifika kileleni utaona shimoSory mkuu kilele kipi maana akili zangu nazijua mwenyewe
Shukrani mkuuShimo lipo. Linaitwa crater. Kama unataka kuliona pasipo kufika hapo, download GOOGLE EARTH utalii nayo ujionee palivyo. Mzungu kashaturahisishia kila kitu. Unatalii tuu kupitia kiganja cha mikono yako au computer yako
Huwezi amini tuko nao jirani kwetu ila sijawahi hata kuusogelea
Yaani toka saa tano usiku mpaka saa tatu asubuhi mnatembea tena kwa kupanda mlima?? Mi nafanya mazoezi nafikiri naweza mudu ila ni shughuli moja pevu yaonekana!
Ni kweli kuna shimo ambalo kijiografia Lina it was vent. Hili ni tundu linalotokea chini kuanza ukanda wa upper ama lower mantle. Tundu hilo ndilo linalopitisha magma ambayo huwa ni kama ujiuji wa moto. Kwa kuwa baada ya mlipuko wa kwanza (active) kuna kipindi ambacho mag and inatoka bila kuripuka hivyo tundu hilo linaendelea kuwepo kama Mlima haujafa kabisa yaani uko dormant. Kijiografia eneo hilo linaitwa crater yaani bonde juu ya Mlima huku humo ndani barafu inaliziba na ni vigumu kuliona.
Haa Haa Haa Haa daaah?kumbe duuh we jamaa unawaza kilele gani?
Hata mimi nashangaa.Kwanin Usiende kupanda Mlima Ujionee Mwenyewe
Hivi ile offer ya waziri haikugusa hukoGharama ziko juu mno, watu wengi wanatamani sana wapande.
Gharama ziko juu mno, watu wengi wanatamani sana wapande.
Unatokea marekani, beba na Nguo kabisa, usisahau ukirudi niletee zawadi ya viatuitakuaje nikizama kwenye hilo shimo la mlima, inamaana ndio nitadumbukia hadi chini kabisa ya mlima ground zero
Poleni na mihangaiko ya hapa na pale pamoja na manung'uniko yanayoendelea kuhusu makenikia.
Husika na kichwa cha habari hapo juu tangu napata akili hadi sasa kumekuwa na maneno kuhusu mlima kilimanjaro kuwa pale juu kileleni kuna shimo ndefu sana na inavyosemekana ndani ya shimo kuna maji na nguvu ya mvutano kiasi kwamba ukikaribia kufika hapo unavutwa na kunasa..
Wajuzi naomba kujuzwa je? Kuna ukweli wowote?