Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ilikuwaje mkuuKuna kipindi nilipandaga kule sasa kipindi nashuka nilikaa kidogo pale gilmans kwa bahati mbaya nikasahau camera aina ya Nikon,Nilishindwa kuirudia japo kuwa camera yenyewe haikuwa ya kwangu ilinibidi niongee na mmiliki kiutu uzima.
Kwayo mkuu kiuhalisia shimo lipoUkweli wa kwamba kuna usumaku wa kuvuta watu shimoni au hakuna hajulikani kwa sababu hakuna atakayekuruhusu ulisogelee shimo kutokana na hali ya hewa ya pale...Pana Baridi Kari sana na wakati mwingine kuna upepo mkali.
Ikitokea umetumbukia kwenye lile shimo uwezekano wa kutoka ni mdogo sana kuliko kupotelea humo shimoni...kwa kifupi ni hatari kulisogelea shimo.
Unataka kusema huwezi kufika kileleni bila hilo shimo ?Mi navyojua kila panapotokea "kilele" lazima pawe na "shimo"
Acha watu waende kufukuaHii ndo kwa mara ya kwanza naisikia kwako
Yeah,Lucifer kicked the bucket long ago 🙂 🙂Kumbe lucifer is no more!!!
Kuna crater kubwa. Pale volcano ilipofumukia .google program ya G.P.S (earth) utaliona hilo shimo juu kileleni.Nnachokifaham, pale kileleni kwenye usawa wa juu kabisa wa mlima, hakuna shimo eneo hilo isipokua
unaweza kuona kwa mbali duara eneo lililopo hilo unaloliita shimo, ni njia ambayo ule ujiuji ulitokea hapo kutoka ardhini wakati wa volcano, ni kama kidonda kilichopona lakini hakikufunga, kuna uwazi. Nilitamani sana kwenda karibu na hilo eneo ila nilichoka mno hata kufika Uhuru peak ilikua bahati.
Hayo ya maji ya moto watakuja wataalam.
....Siyo kila kilele cha mlima kuna shimo la kreta, kilele cha mlima wenye active or dead volcano ndiyo utakuwa na shimo.Mi navyojua kila panapotokea "kilele" lazima pawe na "shimo"
Daaah!! Afadhali nimepata pa kujifunza kitu.Nnachokifaham, pale kileleni kwenye usawa wa juu kabisa wa mlima, hakuna shimo eneo hilo isipokua
unaweza kuona kwa mbali duara eneo lililopo hilo unaloliita shimo, ni njia ambayo ule ujiuji ulitokea hapo kutoka ardhini wakati wa volcano, ni kama kidonda kilichopona lakini hakikufunga, kuna uwazi. Nilitamani sana kwenda karibu na hilo eneo ila nilichoka mno hata kufika Uhuru peak ilikua bahati.
Hayo ya maji ya moto watakuja wataalam.
Kuna crater kubwa. Pale volcano ilipofumukia .google program ya G.P.S (earth) utaliona hilo shimo juu kileleni.
Daaah!! Afadhali nimepata pa kujifunza kitu.
Hv gharama za kukwea mlima pale ni kiasi gn ikiwa ni gharama ya jumla mkuu? Maana natamani sn kufanya utalii wa ndani huko kaskazini mwishoni mwa mwaka huu. Natanguliza shukrani mkui
Hilo shimo linalosemwa ni hilo hapo, lipo mlimani juu lakini sio kwenye kilele cha mlima wanapofika wapandaji. Kwa maana hiyo, sio kila anaepanda mlima analiona hilo shimo.
Hilo shimo linalosemwa ni hilo hapo, lipo mlimani juu lakini sio kwenye kilele cha mlima wanapofika wapandaji. Kwa maana hiyo, sio kila anaepanda mlima analiona hilo shimo.
Kama hujawah kupanda unacomment ili niniMmmh ngoja waliowahi kupanda au wanaojua watujuze
Poleni na mihangaiko ya hapa na pale pamoja na manung'uniko yanayoendelea kuhusu makenikia.
Husika na kichwa cha habari hapo juu tangu napata akili hadi sasa kumekuwa na maneno kuhusu mlima kilimanjaro kuwa pale juu kileleni kuna shimo ndefu sana na inavyosemekana ndani ya shimo kuna maji na nguvu ya mvutano kiasi kwamba ukikaribia kufika hapo unavutwa na kunasa..
Wajuzi naomba kujuzwa je? Kuna ukweli wowote?
shimo wameliona je kuna aliethubutu kufika na kuingia humo shimoni au hata kuchungulia
Mkuu sijui nikajifunze nini? Maana nilichojifunza Ile ni crater!!! Na formation ya crater kwa lugha nyepesi ni tundu linalotokea juu ya kilima baada ya mlipuko wa volcano mfano mlima kilimanjaro, [emoji291] na Kuna kitu kinaitwa caldera, hili ni shimo linalotokea baada ya volcano kulipuka na ardhi ku collapse mfano lile shimo la ngorongoro, kimsingi Ile sio crater ni caldera . Sasa hebu mjadala wetu uanzie hapa.umejibu vizuri! ila kuhusu crater umekosea sana!! kajifunze tena crater ni kitu cha namna gani sawa mkuu