Hivi ni kweli kuna dawa ya mapenzi?

Ndiyo....vya Mungu havina masharti
 
Ipo mkuu, mimi kitambo niliwahi kupewa moja hivi ya kisukuma nikakinuia dada moja hivi kutoka kaskazini, kesho yake ofisini ilikuwa ni ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅ

To be continued
 
Page ya nne hakuna jibu la wazi, location wala namba za mganga mwenye dawa za mapenzi.....wanajf hebu tuweni serious basi.
hii inamaanisha,
Mungu Yupo na ndie anae aminiwa na kutegemewa zaidi na JF fraternity wengi kuliko sangoma๐Ÿ’
 
hii inamaanisha,
Mungu Yupo na ndie anae aminiwa na kutegemewa zaidi na JF fraternity wengi kuliko sangoma๐Ÿ’
Dah mheshimiwa, ujue watu wengi wanamake kupitia waganga wao halafu hawawapi compliments.....
Tupeni dawa ya mapenzi๐Ÿฅน
 
Zambia zinauzwa sokoni, unanunua km unavyonunua chumvi dawa za limbwata.!!

Mapenzi tuwaachie wanaojua kuroga mapenzi yao!! Sie wengine tununue bange tuvute ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Naombeni ulinzi wa comment yangu
 
Dah mheshimiwa, ujue watu wengi wanamake kupitia waganga wao halafu hawawapi compliments.....
Tupeni dawa ya mapenzi๐Ÿฅน
dawa rahisi na ya bure kabisaa ni kumuamini Mungu tu๐Ÿ’

binafsi nawapongeza sana wanawake kujitambua sana sasa hivi na kuamua kutoka huko kwenye hilo dimbwi la mateso na utumwa wenye fedheha sana ndani yake, mmeteseka sana kwa waganga, mmechezewa sana na waganga, mmedhalilishwa sana na waganga, na pengine wengine wamebakwa kabisa na waganga, lakini wamenyamaza kimya .....

hatimae mmeiona Nuru kutoka gizani.
Mungu abariki mahusiano, uchumba na ndoa zenu ๐Ÿ’
 
Ipo mkuu, mimi kitambo niliwahi kupewa moja hivi ya kisukuma nikakinuia dada moja hivi kutoka kaskazini, kesho yake ofisini ilikuwa ni ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅ

To be continued
Vp waweza saidia jinsi ya kuipata
 
Dawa ya kumrudisha mpenzi ni simu moja tu, kesho yupo mlangoni

Ila itategemea mlikuwa mnaishi vipi hapo kabla ya kugombana na ulimkoleza vipi.
 
Hizi dawa za mvuto ktk kupata wanaume au wanawakae zipo

Sema ile consistency ndo huwa haipo.

Binafsi dark and light - sehemu zote zinafanya kazi sawa muhimu kuchagua upande ambao unauona utakupa AMANI na kkukuondolea majuto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ