Hivi ni kweli kuna dawa ya mapenzi?

Hivi ni kweli kuna dawa ya mapenzi?

kuna vitu viko wazi kabisa na mtu anaweza akawa na ufahamu na uelewa wa kutosha kwamba faida za jambo hili zinaambatana na utumwa wa masharti magumu na ya fedheha sana, yasiyo kupa amani, Lakini pia manufaa yake ni ya muda tu 🐒

si afadhali umtegemee Mungu na ufaidike na kufurahia atakachokujaali kwa amani maisha yako yote mpaka siki ya mwisho🐒
Ndiyo....vya Mungu havina masharti
 
kwamba eti kuna mganga wa kienyeji mahali Fulani, anaweza kumrudisha mpenzi wako alie potea au kukutoroka au kukufanya upendwe sana na boss wako ofisini au akupe dawa ya kupandishwa cheo kazini?

Au akupe dawa ya mvuto wa kimapenzi?🐒

vipi ndugu, uliwahi kujaribu kupitia njia hii na vipi matokeo yalionekana? nini kilikuchochea 🐒
Ipo mkuu, mimi kitambo niliwahi kupewa moja hivi ya kisukuma nikakinuia dada moja hivi kutoka kaskazini, kesho yake ofisini ilikuwa ni 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥

To be continued
 
Page ya nne hakuna jibu la wazi, location wala namba za mganga mwenye dawa za mapenzi.....wanajf hebu tuweni serious basi.
hii inamaanisha,
Mungu Yupo na ndie anae aminiwa na kutegemewa zaidi na JF fraternity wengi kuliko sangoma🐒
 
hii inamaanisha,
Mungu Yupo na ndie anae aminiwa na kutegemewa zaidi na JF fraternity wengi kuliko sangoma🐒
Dah mheshimiwa, ujue watu wengi wanamake kupitia waganga wao halafu hawawapi compliments.....
Tupeni dawa ya mapenzi🥹
 
Zambia zinauzwa sokoni, unanunua km unavyonunua chumvi dawa za limbwata.!!

Mapenzi tuwaachie wanaojua kuroga mapenzi yao!! Sie wengine tununue bange tuvute 😂😂

Naombeni ulinzi wa comment yangu
 
Dah mheshimiwa, ujue watu wengi wanamake kupitia waganga wao halafu hawawapi compliments.....
Tupeni dawa ya mapenzi🥹
dawa rahisi na ya bure kabisaa ni kumuamini Mungu tu🐒

binafsi nawapongeza sana wanawake kujitambua sana sasa hivi na kuamua kutoka huko kwenye hilo dimbwi la mateso na utumwa wenye fedheha sana ndani yake, mmeteseka sana kwa waganga, mmechezewa sana na waganga, mmedhalilishwa sana na waganga, na pengine wengine wamebakwa kabisa na waganga, lakini wamenyamaza kimya .....

hatimae mmeiona Nuru kutoka gizani.
Mungu abariki mahusiano, uchumba na ndoa zenu 🐒
 
kwamba eti kuna mganga wa kienyeji mahali Fulani, anaweza kumrudisha mpenzi wako alie potea au kukutoroka au kukufanya upendwe sana na boss wako ofisini au akupe dawa ya kupandishwa cheo kazini?

Au akupe dawa ya mvuto wa kimapenzi?🐒

vipi ndugu, uliwahi kujaribu kupitia njia hii na vipi matokeo yalionekana? nini kilikuchochea 🐒
Dawa ya kumrudisha mpenzi ni simu moja tu, kesho yupo mlangoni

Ila itategemea mlikuwa mnaishi vipi hapo kabla ya kugombana na ulimkoleza vipi.
 
Hizi dawa za mvuto ktk kupata wanaume au wanawakae zipo

Sema ile consistency ndo huwa haipo.

Binafsi dark and light - sehemu zote zinafanya kazi sawa muhimu kuchagua upande ambao unauona utakupa AMANI na kkukuondolea majuto.
 
Back
Top Bottom