sikongefdc
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,612
- 2,156
Kwanini hataki kujitokeza hadharani tumshuhudie live live? Mimi nipo kati kati saivi nikiangukia kwa wanao amini Mungu hayupo sina hatia kabisa maana alisema tumtafute kwa bidii ila ndio hivyo sasa haonekaniMi pia na amini hivyo kuwa kuna Mungu maana ukijiuliza tulitoka wapi? Kwanini tuko hapa? Tunaelelea wapi baada ya apa ? Utajua tu kuna sababu ya kuwepo
Ndio matatizo ya imani, unamezeshwa kila kitu bila hata kuhoji.zaidi ya 90% ya watz wanaamini kuwa kuna maisha baada ya kufa na Hawa wote ukifuatilia anaamin hivyo kiimani zaidi
Maisha baada ya kifo yapo iwapo tu kifo kipo, na hayapo kama kifo hakipoHabari wanazengo,
Leo ningependa kufahamu au kujua kile unachoamini wewe kama wewe tulivyoumbwa kila mmoja amepewa utashi ukiwa na lengo la kupambanua mambo, tuachane kwanza na hizi imani ambazo tunazoamini au kuaminishwa.
Hivi ulishawahi kujiuliza baada ya kufa nini kinaendelea, kuna maisha baada ya kufa au ndiyo ukifa umekufa mazima!
Dini na mambo ya Mungu ni hatari kuliko sumu, jamaa walio kaa na kuandaa hii silaha wajengewe minara kila nchi na wapewe tunzo za heshima.Kama umesoma vitabu vya dini kuu mbili ni dictator kamili pengine kuwahi kutokea.
Lakini hili halifanyi asiwe sahihi ila kwa namna vitabu vya dini viliivyo m-proclaim ni ngumu
sana kumuelewa.
Total mind control...Dini na mambo ya Mungu ni hatari kuliko sumu, jamaa walio kaa na kuandaa hii silaha wajengewe minara kila nchi na wapewe tunzo za heshima.
Roho ni kitu gani mkuu?Kifo ni usingizi usioamka,Zile ndoto unazootaga hayo ndo maisha mengine.Maana yake mwili unaoza ila roho yako inaendelea kuishi
Habari wanazengo,
Leo ningependa kufahamu au kujua kile unachoamini wewe kama wewe tulivyoumbwa kila mmoja amepewa utashi ukiwa na lengo la kupambanua mambo, tuachane kwanza na hizi imani ambazo tunazoamini au kuaminishwa.
Hivi ulishawahi kujiuliza baada ya kufa nini kinaendelea, kuna maisha baada ya kufa au ndiyo ukifa umekufa mazima!
ukifa hakikisha unaeenda na namba zetu ili uturudishie mjeresho wa maswali yako maana muda mwingine vitendo vinafaa kuliko nadharia.
Mzee usiishie kusema haikubaliki bila kuweka uthibitisho wakati wote tunajua Darwin theory ni best theory miongoni mwa evolution theoriesKuwa theory na kukubaliwa na wanasayansi ni vitu viwili tofauti Scars hope unajua.
Nilichokipinga, ni wewe kusema wanasayansi walikubali theory zake kuhusu evolution.
Great thinker imekuwaje mkuu?
Mbona mkuu unachekesha ivo..Mzee usiishie kusema haikubaliki bila kuweka uthibitisho wakati wote tunajua Darwin theory ni best theory miongoni mwa evolution theories
Huyo Darwin ambaye unasema hakubaliwi na sayansi, theories zake ndio zinafundishwa mashuleni huko mostly, sasa ni wanasayansi gani wangeruhusu somo ambalo linaivua nguo sayansi kufundishwa mashuleni?
Wapo wanasayansi waliokuja na theories zao ambazo zilikuwa rejected na wanasayansi na mpaka leo hukuti theories hizo zinafundishwa mashuleni
Mfano Alfred Wegner alikuja na theory ya kusema dunia ina move very slowly, theory yake ilikataliwa na wanasayansi kwasababu haikuwa na mashiko ya kisayansi na ilikua ina mapengo mengi kwenye uthibitisho
Na pengine ndio maana unaweza ikawa ni mara yako ya kwanza kuiskia habrai hii kutokana na kwamba ilishakataliwa, lakini natural selection imekataliwa na bado inafundishwa shuleni...Why?
Uthibitisho upi unahitaji mkuu?Mzee usiishie kusema haikubaliki bila kuweka uthibitisho wakati wote tunajua Darwin theory ni best theory miongoni mwa evolution theories
Huyo Darwin ambaye unasema hakubaliwi na sayansi, theories zake ndio zinafundishwa mashuleni huko mostly, sasa ni wanasayansi gani wangeruhusu somo ambalo linaivua nguo sayansi kufundishwa mashuleni?
Wapo wanasayansi waliokuja na theories zao ambazo zilikuwa rejected na wanasayansi na mpaka leo hukuti theories hizo zinafundishwa mashuleni
Mfano Alfred Wegner alikuja na theory ya kusema dunia ina move very slowly, theory yake ilikataliwa na wanasayansi kwasababu haikuwa na mashiko ya kisayansi na ilikua ina mapengo mengi kwenye uthibitisho
Na pengine ndio maana unaweza ikawa ni mara yako ya kwanza kuiskia habrai hii kutokana na kwamba ilishakataliwa, lakini natural selection imekataliwa na bado inafundishwa shuleni...Why?
Nilikuuliza mwanzo nitajie aina za evolution theory ambazo zinatambulika na sayansi, hukujibu uliishia kusema ile ya darwin haikubalikiMbona mkuu unachekesha ivo..
Unapoamua kuwa rational basi kuwa rational kweli kweli.
Shuleni zina fundishwa theory sita za evolution je zote ni za kweli?
dini imekaa trick sana mfano ukienda kwa mchungaj kumlalamikia kuwa mbona muujiza wenyewe haujauona atakwambia imani yako ni ndogo ndiyo maana haijatokea kuza kwanza imani yako ndiyo maana hata Yesu alisema kuwa ikiwa mtu ana imani hata kama punje ya haradali basi anaweza amrisha mti huu toka hapaDini na mambo ya Mungu ni hatari kuliko sumu, jamaa walio kaa na kuandaa hii silaha wajengewe minara kila nchi na wapewe tunzo za heshima.
Mkuu nikiangalia nauona uwezo wako mkubwa wa kutaman kujenga hoja.Nilikuuliza mwanzo nitajie aina za evolution theory ambazo zinatambulika na sayansi, hukujibu uliishia kusema ile ya darwin haikubaliki
Niliuliza nikiwa najua kua zipo evolution theories zaidi ya moja, kwa hiyo hapa nataka unifamaishe kwamba kuwepo wa theories zaidi ya moja zinazoelezea evolution tafsiri yake hakuna ukweli?
Nakukumbusha pia kua bado hujanithibitishia evolution ya darwin jinsi ilivyokuwa rejected na wanasayansi
Kwanini wewe unayepinga usije na uthibitisho?Mkuu nikiangalia nauona uwezo wako mkubwa wa kutaman kujenga hoja.
Umesema kuwa wanasayansi walizikubali theory za Dwarn ila umeshindwa kuleta uthibitisho unataka
mimi wa kureject theory zake..
Iko hivi theory of evolution ili iweze kukubalika lazima itaje asili ya viumbe hai(orgin of species)
kwa Dwarn hicho kitu hakufanya haielezei evolution ilitokeaje.
Please muwe mnasoma na the other side ya hizi theory.
Nimekwambia hivi sababu ya theory yake kuwa rejected haikidhiKwanini wewe unayepinga usije na uthibitisho?
Hujaona hapo nimekuwekea mfano wa wanasayansi ambao walikuwa rejected na theories zao, kwanini usije na data ambazo zina support madai yako?
Mimi nakuambia Darwin theory inakubalika katika miko ya kisayansi na ndio maana imepewa vibali vyote itumike kama elimu kufundishia.
Niambie ni lini sayansi ilipinga theory fulani kwamba imepotosha na haijakidhi katikamiiko ya sayansi halafu baadaye tukaiona theory hiyo hiyo inafundishwa kama somo la sayansi?