love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Taja sehemu ambayo Dwarn ameelezea orgin of species huwez sema evolution bila kutajaKwanini wewe unayepinga usije na uthibitisho?
Hujaona hapo nimekuwekea mfano wa wanasayansi ambao walikuwa rejected na theories zao, kwanini usije na data ambazo zina support madai yako kama nilivyokuwekea kwenye huo mfano?
Mimi nakuambia Darwin theory inakubalika katika miko ya kisayansi na ndio maana imepewa vibali vyote itumike kama elimu kufundishia.
Niambie ni lini sayansi ilipinga theory fulani kwamba imepotosha na haijakidhi katikamiiko ya sayansi halafu baadaye tukaiona theory hiyo hiyo inafundishwa kama somo la sayansi?
Unauhakika?Nimekwambia hivi sababu ya theory yake kuwa rejected haikidhi
kwa sababu hamna sehemu ameeleza orgin of species kama ipo
itaje?
Daaah nimejikuta nakosa nguvu kabisa, ina maana kubishana kote huko kuhusu darwin kumbe hata vitabu vyake hujawahi kuvisoma?Taja sehemu ambayo Dwarn ameelezea orgin of species huwez sema evolution bila kutaja
orgin of species.
Taja kwenye hicho kitabu wapi ametaja orgin of spicies ukurasa upi?Unauhakika?
Hicho kitabu nimekutajia toka mwanzo hakuna sehemu ameelezea orgin mkuu.Daaah nimejikuta nakosa nguvu kabisa, ina maana kubishana kote huko kuhusu darwin kumbe hata vitabu vyake hujawahi kuvisoma?
Kitabu kinaitwa The Origin Of Species, halafu kimeelezea kwa mtiririko kuanzia mwanzo mpaka mwisho, hakuna mada nyingine kwenye hicho kitabu nje na origin of species iliyoongelewa humo, sasa wewe unauliza ukurasa upi kwa mantiki ipi?Taja kwenye hicho kitabu wapi ametaja orgin of spicies ukurasa upi?
Kijana kwenye comment yangu ya kwanza kabisa ulipomtaja Dwarn nilikuelezaKitabu kinaitwa The Origin Of Species, halafu kimeelezea kwa mtiririko kuanzia mwanzo mpaka mwisho, hakuna mada nyingine kwenye hicho kitabu nje na origin of species iliyoongelewa humo, sasa wewe unauliza ukurasa upi kwa mantiki ipi?
Pengine una tafsiri yako ya kipekee inayoelezea origin of species na ndio maana kwa mtazamo wako unasema Darwin hajaelezeaHicho kitabu nimekutajia toka mwanzo hakuna sehemu ameelezea orgin mkuu.
kama ipo taja ukurasa wa ngap.
Nipe maana yako unayoikubali wewe kuhusu origin of speciesKijana kwenye comment yangu ya kwanza kabisa ulipomtaja Dwarn nilikueleza
kuwa hakuna kitu kama hicho bali ni namna gani viumbe vina mantain consisteny.
Niambie kwenye kitabu hicho Dwarni ameelezea viumbe walitokea tokea vipi?
Nimekuuliza amesema species walitokea tokea vipi acha uswahili kuwa rational kamaunavyo dai.Pengine una tafsiri yako ya kipekee inayoelezea origin of species na ndio maana kwa mtazamo wako unasema Darwin hajaelezea
Umeomba ukurasa, haya nakupa kasome kuanzia ukurasa wa 8-63
Lakini pia nakukumbusha tena kua mpaka sasa bado hujaniwekea uthibitisho wowote kwamba wanasayansi walipinga theory ya darwin kwasababu haikueleza origin of species
Wewe ni mtalaam wa kukwepa maswali..Nipe maana yako unayoikubali wewe kuhusu origin of species
Na niambie hivyo vitu ambavyo unasema havijaelezwa kwenye hiyo theory ni wapi vimeelezwa kwene vyanzo vingine?
Mwanzo kabisa niliandika kua wanasayansi wanakubali hoja sio kwasababu imeletwa na mtu smart, bali kulingana na evidence ambayo ipo mezani inayo support madai yake, na ndio maana sayansi haisemi evolution ni kweli kwasababu Darwin kasema ni kweli bali kulingana na uthibitisho ambao upo na una support hoja zakeWewe ni mtalaam wa kukwepa maswali..
Hivi umesema imekubaliwa na wanasayansi ulikuwa unamaanisha
wanasansi gani?
Orgin of species Dwarn amesema walitokea tokea vipi kuwa rational kama unavyodai.
Kutokukubaliwa ndio kuwa rejected hueweli hicho?Mwanzo kabisa niliandika kua wanasayansi wanakubali hoja sio kwasababu imeletwa na mtu smart, bali kulingana na evidence ambayo ipo mezani inayo support madai yake, na ndio maana sayansi haisemi evolution ni kweli kwasababu Darwin kasema ni kweli bali kulingana na uthibitisho ambao upo na una support hoja zake
Kupitia fossil record, biogeography, comparative anatomy, comparative embryology, na molecular biology hivyo zote ni evidence zinazo support theory hiyo
Nataka unipe huo uthibitisho wako unaonesha wanasayansi wali reject hiyo theory kwasababu haijaeleza origin of species
Acha harama ukifa utajuaHabari wanazengo,
Leo ningependa kufahamu au kujua kile unachoamini wewe kama wewe tulivyoumbwa kila mmoja amepewa utashi ukiwa na lengo la kupambanua mambo, tuachane kwanza na hizi imani ambazo tunazoamini au kuaminishwa.
Hivi ulishawahi kujiuliza baada ya kufa nini kinaendelea, kuna maisha baada ya kufa au ndiyo ukifa umekufa mazima!
Mbona huonyeshi wapi ambapo hakukubaliwa?Kutokukubaliwa ndio kuwa rejected hueweli hicho?
Kama unaweza nioneshe waloikubali acha uswahili mkuu.
Majibu yako yapo kwenye pages nilizokutajia. KasomeNimekuuliza amesema species walitokea tokea vipi acha uswahili kuwa rational kamaunavyo dai.
Uthibitisho kuwa ilikuwa rejected ni kutokukubaliwa.
Kati ya kukubaliwa na kutokukubaliwa kipi kinahitaji kuonyeshwa?Mbona huonyeshi wapi ambapo hakukubaliwa?