Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Hakuna maisha kabla ya kuwa concieved kama vile ilivyo hakuna maisha baada ya kufa.Kabla haujazaliwa na kuja duniani unakumbuka kuna maisha yoyote uliyapitia? Au hukumbuki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna maisha kabla ya kuwa concieved kama vile ilivyo hakuna maisha baada ya kufa.Kabla haujazaliwa na kuja duniani unakumbuka kuna maisha yoyote uliyapitia? Au hukumbuki?
Kufa ni kufa tu.Suala la kufa na kuzaliwa vinatofautiana! Wengine wanakufa na umri mdogo na wengine wanakufa wakiwa wazee kabisa tena wanakuwa wameshamaliza nguvu zote! Hawa hawawezi kuwa sawa na wanaokufa na umri wa ujana au watoto!
Hakuna science inayosema kuna maisha baada ya kufa. In science when you are dead,you are gone. You cease to exist. There is no life after death scientifically.Ila hukunisoma vyema mkuu.
Nimekazia kuwa ni vyote sayansi na dini zinagongelea pale pale kwenye uwepo wa maisha baada ya kifo.
Wewe ulikufa lini ukaprove hilo??Hakuna maisha kabla ya kuwa concieved kama vile ilivyo hakuna maisha baada ya kufa.
Najua mwili wa mwanadamu unavyofanya kazi.Wewe ulikufa lini ukaprove hilo??
Hakuna science inayosema kuna maisha baada ya kufa. In science when you are dead,you are gone. You cease to exist. There is no life after death scientifically.
Kuna maisha baada ya kifo kwa maana yaHabari wanazengo...
Leo ningependa kufahamu au kujua kile unachoamini wewe kama wewe tulivyoumbwa kila mmoja amepewa utashi ukiwa na lengo la kupambanua mambo, tuachane kwanza na hizi imani ambazo tunazoamini au kuaminishwa.
Hivi ulishawahi kujiuliza baada ya kufa nini kinaendelea, kuna maisha baada ya kufa au ndiyo ukifa umekufa mazima!
Huku kufufuliwa sasa walienzi tunaenzi na tunaendelea kuenzi mwisho wa kuenzi ni lini hasaNadharia ni moja tu mkuu kwamba KUFA KUPO NA TUTAFUFULIWA ILI MFUFUAJI ATUONYESHE YOTE TULIYOYAFANYA NA ATUINGIZE PEPONI AU MOTONI kulingana na matendo yetu.
Hao wenye nadhalia ya kisayansi wanashindwa nini sasa kuzuia huko KUFA?
Mimi nipo upande wa masadukayo... hakuna ufufuo Wala maisha baada ya kufa, mambo ya kwenda mbinguni kula maziwa na asali na kukabidhiwa"mahululaini" 70 wa kufanya nao mapenzi hiyo hamna. Wewe usipofanya mapenzi hapa duniani usitegemee kwenda kufanya mapenzi. Roho itaendelea kuishi milele lakin sio kufufuliwa tenaHabari wanazengo...
Leo ningependa kufahamu au kujua kile unachoamini wewe kama wewe tulivyoumbwa kila mmoja amepewa utashi ukiwa na lengo la kupambanua mambo, tuachane kwanza na hizi imani ambazo tunazoamini au kuaminishwa.
Hivi ulishawahi kujiuliza baada ya kufa nini kinaendelea, kuna maisha baada ya kufa au ndiyo ukifa umekufa mazima!
atakuwa ni yule mtoto wa jiwe...mzee wa kula Bata kuliko wote nchiniRC wa mkoa gani mbona hatukufahamu