Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Science ili kitu kikubalike lazima kuwe na vivid evidences. Dini ni imani. Imani ni kuwa na hakika na mambo yatarajiwayo ni baana ya mambo yasiyoonekana. Kidini sisi wakristo tunaamini roho inaishi. Kila ki sayansi tunaamini hakuna roho. Ufahamu unatengenezwa na brain. Moyo ukisimama,mapafu yakasimama,brain cells(neurons)zikakosa oxygen na kufa.Hapo ndo mwisho wa life. As there was no life before haujawa concieved hivyo hakutakuwa na life pale mwili wako utakufa.Kwa maana hiyo science inakinzana na dini