Science ili kitu kikubalike lazima kuwe na vivid evidences. Dini ni imani. Imani ni kuwa na hakika na mambo yatarajiwayo ni baana ya mambo yasiyoonekana. Kidini sisi wakristo tunaamini roho inaishi. Kila ki sayansi tunaamini hakuna roho. Ufahamu unatengenezwa na brain. Moyo ukisimama,mapafu yakasimama,brain cells(neurons)zikakosa oxygen na kufa.Hapo ndo mwisho wa life. As there was no life before haujawa concieved hivyo hakutakuwa na life pale mwili wako utakufa.Kwa maana hiyo science inakinzana na dini
Usiwe na haraka mkuu, subiri ufe utajua kila kitu, means kama hakuna life jingine means hutajua kama hakuna life means utakua hau-exist.Habari wanazengo...
Leo ningependa kufahamu au kujua kile unachoamini wewe kama wewe tulivyoumbwa kila mmoja amepewa utashi ukiwa na lengo la kupambanua mambo, tuachane kwanza na hizi imani ambazo tunazoamini au kuaminishwa.
Hivi ulishawahi kujiuliza baada ya kufa nini kinaendelea, kuna maisha baada ya kufa au ndiyo ukifa umekufa mazima!
Kwanini zisiende na zetu ziende Kwani sisi binadamu tuna u-spesho gani?Roho za wanyama na miti haziendi mbinguni bhana.
Kabla haujawa fœtus ulikuwa haujitambui,vivyo hivyo ukifa utakuwa haujitambui. Life is a process kutungwa mimba na kufa.hadi leo wamekufa wengi sana ila hakuna aliyerudi na kutupa mrejesho wa hali halisi hata mm nikifa huo mrejesho nitabaki nao mwenyewe
Spiritual rebirth ni kama kuokoka na kuishi mbinguni baada ya kifo[emoji848][emoji848]
HAKUNAGA KUFAHabari wanazengo...
Leo ningependa kufahamu au kujua kile unachoamini wewe kama wewe tulivyoumbwa kila mmoja amepewa utashi ukiwa na lengo la kupambanua mambo, tuachane kwanza na hizi imani ambazo tunazoamini au kuaminishwa.
Hivi ulishawahi kujiuliza baada ya kufa nini kinaendelea, kuna maisha baada ya kufa au ndiyo ukifa umekufa mazima!
kwa maana nyingine mwanasayansi kama mwanasayansi asiyechakachuliwa hana dini maana kuna vitu vingi sana vya kiimani zaidi tofauti na yeye atataka hadi proof[emoji3477][emoji848][emoji848]Science ili kitu kikubalike lazima kuwe na vivid evidences. Dini ni imani. Imani ni kuwa na hakika na mambo yatarajiwayo ni baana ya mambo yasiyoonekana. Kidini sisi wakristo tunaamini roho inaishi. Kila ki sayansi tunaamini hakuna roho. Ufahamu unatengenezwa na brain. Moyo ukisimama,mapafu yakasimama,brain cells(neurons)zikakosa oxygen na kufa.Hapo ndo mwisho wa life. As there was no life before haujawa concieved hivyo hakutakuwa na life pale mwili wako utakufa.
Mimi kabla sijakujibu naomba nikuulize swali,unajuaje uwepo wa vitu visivyo onekana ?Habari wanazengo...
Leo ningependa kufahamu au kujua kile unachoamini wewe kama wewe tulivyoumbwa kila mmoja amepewa utashi ukiwa na lengo la kupambanua mambo, tuachane kwanza na hizi imani ambazo tunazoamini au kuaminishwa.
Hivi ulishawahi kujiuliza baada ya kufa nini kinaendelea, kuna maisha baada ya kufa au ndiyo ukifa umekufa mazima!
hapa kuna kitu cha kuondoka nachoSpiritual rebirth ni kama kuokoka na kuishi mbinguni baada ya kifo
Reincarnation ni kuzaliwa tena baada ya kufa..lakini si lazima uzaliwe binadamu
Realm of eternity ni kuzaliwa, kufa,kuoza na naozea kutumika kwenye mambo mengine
Umejuaje hili ?Ukifa umekufa brother.
Hakuna motoni wala mbinguni.
Na baada ya maisha ya baada ya kifo kuna nini?Habari wanazengo...
Leo ningependa kufahamu au kujua kile unachoamini wewe kama wewe tulivyoumbwa kila mmoja amepewa utashi ukiwa na lengo la kupambanua mambo, tuachane kwanza na hizi imani ambazo tunazoamini au kuaminishwa.
Hivi ulishawahi kujiuliza baada ya kufa nini kinaendelea, kuna maisha baada ya kufa au ndiyo ukifa umekufa mazima!
Unao ushahidi wa Kisayansi unao onyesha Dunia inatanuka au Dunia inazunguka au uwepo wa Black Hole au Galaxy zenye mabilioni ya nyota na mfano wa hayo ?Science ili kitu kikubalike lazima kuwe na vivid evidences.
Maana yake katika Sayansi kuna Imani bila shaka,sababu hili kisayansi halithibitishiki.Kila ki sayansi tunaamini hakuna roho.
Aliyeuliza swala hili anataka kutuambia kwamba pengine kuna pepo huko ambayo wataingia atheist,sasa hiyo pepo kaiweka nani aise..kama peponi ni sehemu ambayo wanaruhusiwa kuingia atheist peke yao
Nilijiuliza sana haya maswali tokea nikiwa kijana mdogo mdogo hivi ila kadri siku zilivyozidi kwenda mpaka leo nimeweza kujijibu mwenyewe.Lakini vipi kama ukiambiwa na mtu mwingine tofauti na dini yako kwamba Mungu wa dini yake ndio wa ukweli na hivyo unapaswa kumuamini na kumuacha huyo Mungu wa uongo unayemuabudu maana hautapungukiwa kitu kuliko ukampuuza na ukaendelea kuamimi Mungu wako ambaye ni potofu na mwisho wa siku ukaja ukakutana na Mungu wa kweli ambaye ulimpuuza?
Kusadiki ni kuwa na hakika na mambo tarajiwaUkiwa Rc sali nasadiki utajua
Kuna ufufuo na hukumu,baada ya hapo hakuna tena kifo ni kuishi tu.