Hivi ni kweli kuna maisha baada ya kifo?

Hivi ni kweli kuna maisha baada ya kifo?

Ukisoma system ya mwili wa binadamu inavyofanya kazi hakuna roho. System ya mwili ni inafanywa na organs zinazotegemeana .kwa hiyo organs ambazo ni vital zinapofeli au inapofeli ndo system ya mwili inacolapse na mtu anakufa. Vital organs ndo msingi wa maisha ya mwanadamu. Moyo ukifail ndo mwisho maana moyo unasukuma damu kwenda kwa mwili na kwenda kwenye mapafu ili damu isafishwe huko. Damu ndo inabeba nutrients na Oxygen kuufanya mwili uendelee kuishi.
we unaonglea zaidi mwili ambao hausiki na maisha baada ya kifo maana ndio unaokufa/haribika.
vp huamini uwepo wa roho ambayo ndio conscious ingekua sis ni system tu tusingejitambua yaani tungekua kama mtambo tuu ila roho ndo inatufanya kujitambua.
 
Ukisoma system ya mwili wa binadamu inavyofanya kazi hakuna roho. System ya mwili ni inafanywa na organs zinazotegemeana .kwa hiyo organs ambazo ni vital zinapofeli au inapofeli ndo system ya mwili inacolapse na mtu anakufa. Vital organs ndo msingi wa maisha ya mwanadamu. Moyo ukifail ndo mwisho maana moyo unasukuma damu kwenda kwa mwili na kwenda kwenye mapafu ili damu isafishwe huko. Damu ndo inabeba nutrients na Oxygen kuufanya mwili uendelee kuishi.
Ongezea na ubongo
 
Maisha yapo baada ya kufa mwili, roho zetu hazifi Kuna zinazokwenda mbinguni wale watenda mema na zinazokwenda kuishi jehanamu kihuni huni kwa wale wanaotenda mabaya, Tunapewa nafasi ya kuishi katika mwili na jinsi tutavyoishi katika matendo ya mwili ndipo na hukumu zetu zitavyokuwa yaani jinsi unavyoishi katika mwili ndivyo roho yako inavyohesabiwa matendo yake kwamba utaelekea wapi baada ya kufa mwili na kwa vile Mungu ni Roho iliyokatika Utakatifu basi wale wema roho zao zitaenda kwake kama wafuasi wake Wema waliojizuia kutenda mabaya duniani na roho za wabaya zitaenda kwa mkuu wao wa ubaya kuishi maisha ya kihuni huni milele yote. Na utakatifu ni zile Amri kumi za Mungu alizozishusha duniani hivyo ukiweza kuziishi hizo Amri kumi zake na pale unapokosea ukamuomba Mungu msamaha kwa kujutia ndipo roho yako itaishi na Mungu baada ya kifo.
 
Tunapigana kamba tu mkuu!.. wenye akili wanacheza na bongo zetu wanatufanyia vurugu ili tusile raha hapa duniani!. Just imagine unaenda eti kutubu kwa padri ukiamini yeye ni mtakatifu wakati hujui matendo yake!, serious kama unaakili huwezi fanya hivi am telling you.

Hakuna Cha pepo hakuna cha moto isipokuwa ukienda kinyume na nature laws mazingira yatakuadhibu hapahapa hakuna kusubiri.
Basi utubu kwa Mungu maana ndiye hapendi ukosee zile Amri zake kumi na siyo mtu.
 
Zipo nadharia nyingi kuhusu hilo:

Ni sayansi ni kidini?

https://en.m.wikipedia.org/wiki/Religious_views_of_Isaac_Newton/

Magwiji kama kina Newton waliukubali uwepo wa Mungu. Sembuse nani?

Misahafu inasema kuna maisha baada ya kifo.
Nadharia ni moja tu mkuu kwamba KUFA KUPO NA TUTAFUFULIWA ILI MFUFUAJI ATUONYESHE YOTE TULIYOYAFANYA NA ATUINGIZE PEPONI AU MOTONI kulingana na matendo yetu.
Hao wenye nadhalia ya kisayansi wanashindwa nini sasa kuzuia huko KUFA?
 
Tunapigana kamba tu mkuu!.. wenye akili wanacheza na bongo zetu wanatufanyia vurugu ili tusile raha hapa duniani!. Just imagine unaenda eti kutubu kwa padri ukiamini yeye ni mtakatifu wakati hujui matendo yake!, serious kama unaakili huwezi fanya hivi am telling you.

Hakuna Cha pepo hakuna cha moto isipokuwa ukienda kinyume na nature laws mazingira yatakuadhibu hapahapa hakuna kusubiri.
BRAVO
 
Ukifa roho inaenda kuanzisha maisha mengine kwa umbo jingine. Ndugu yangu "vunja mifupa bado meno yangalipo" aliimba mwanamziki. Jitahidi uwe na maisha mazuri ungali hai!! Maisha ya baadae kama wewe hakuna, nasema hakuna.
 
Kuweka kumbukumbu sawa wewe ni mkristo bilashaka

Utajiskiaje ukiambiwa na muislamu kua ni heri ukaamini Allah ndio Mungu wa kweli na ukampuuza huyo unayemuamini sasa ili hata ukifa na usipate nafasi ya kukutana naye itakuwa fresh tu kuliko kujitia kibri na kumpuuza mtume muhammad na mwisho ukafa ukakutana na Allah?
Naheshimu sana mawazo yako Scars na elimu yako pia.
Ukristo ni Kuwa mfuasi wa Yesu,

Swala la imani hadi ikajengeke katika roho yako ni lazima ipite kwenye akili zako, akili ikubaliane na kile unacho kisikia ndipo itajenga imani ndani yako.
Imani na ufahamu hutakiwi kuvitengenisha hata kidogo.

Ushauri wangu kwa mtu mwenye imani yoyote ile.
Ebu soma soma sana vitabu vya dini yako, usiishie kusikiliza mawaidha anayokupa labda mchungaji au nabii wako, ebu katafuta hivo vitabu na usome mwenyewe na omba Mungu akuongoze katika kusoma kwako na kujiongezea elimu, ukipata ukakasi popote pale ni muhimu kupitia, kujifunza na kusoma pia katika upande wa dini nyingine.

Nikujibu swali lako;
Binafsi ukristo wangu level niliyofikia niya kuzungumza na Mungu wangu,
Ninae Roho yule aliyetabiliwa kushuka tangu kipindi za manabii waliokuako kipindi cha mfalme Suleiman na Daudi.
Ninae ni Roho mtakatifu, ananisaidia vitu vingi sana, hasa kupambana na roho chafu za hapa duniani.
Roho huyo unipa amani sana.
Najiuliza niende wapi nikateseke Mala 100 zaidi ?

Kama kuna mtu ataweza kunishawishi na akili zangu zikaona kuwa kuna haja ya mimi kuwa Muislamu, aisee nipo tayri.

Ubaya ni kuwa watanzania tulio wengi tunapenda kubeba vitu kwa kusikia sikia tu kwa wakubwa zetu, tujitaidi kuwa wachunguzi wa mambo na tuishi kwa akili.
Hongera wewe Scars ni mtafiti mzuri, kuna wengine huu muda hawana kabisa.
 
Mfano mwingine wenye hela wote hawakeshagi kanisani ila sisi mwenzangu na mie sasa ibada zote upo
Mbinguni wanakwenda wema na siyo wakesha makanisani, kikubwa ni wema na kufata Amri kumi za Mungu , Sasa Ibada zote ukiwepo na kazi unaiheshimu? Maana Kazi ndo kitu aliamrishwa Adamu afanye cha kwanza kama ibada yake na asipofanya basi asile na afe! Sasa ushinde kanisani hiyo ibada ya kazi unafanya saa ngapi?
 
Habari wanazengo...
Leo ningependa kufahamu au kujua kile unachoamini wewe kama wewe tulivyoumbwa kila mmoja amepewa utashi ukiwa na lengo la kupambanua mambo, tuachane kwanza na hizi imani ambazo tunazoamini au kuaminishwa.

Hivi ulishawahi kujiuliza baada ya kufa nini kinaendelea, kuna maisha baada ya kufa au ndiyo ukifa umekufa mazima!
Hamna mtu mwenyewe jibu. Tenda mema subiri siku yako.
 
Back
Top Bottom