Hivi ni kweli kuna satellite uko angani yaweza piga picha watu na kurekodi sauti katika uso wa dunia?

Equation ya nini mkuu, wewe lete tu hiyo picha ya mtu iliyopigwa kutoka huko angani kwa kutumia satellite, nasema hivyo kwa sababu sijawahi kuona hicho kitu kwa hiyo ukileta utakuwa umenitoa ushamba.
Nishakutoa ushamba..mkuu kama kitu hujui we cool tu
 
Hebu wekeni ushahidi sio mnasema tu inawezekana halafu mnaishia hapo
Marekani walikuwa wana wasiwasi kuhusu compound moja kule Abhotabad, Pakistan na waliihusisha na Osama. Camera zilielekezwa pale. Kuna siku walimuona mtu mrefu anavinjari nje, wakamudu kumpiga picha kutoka juu katika satellite. Kwa kuwa picha ilikuwa inatoka juu, sura yake haikuonekana vizuri, so wakapima urefu wa kivuli, wakatumia location ya mtu na ya camera na ya jua muda huo, wakapata urefu wa binadamu huyo. Walipofanya comparison na urefu halisi wa Osama, probability za kuwa ni huyo mtu ni Osama zikapanda.
 
Hvi unajua CHATGPT inalemaza sana watu ahahaha
 
Kwa sauti inakuwa ngumu ila video na picha sawa, fuatilia air force one ya Biden, hata ukimnong'oneza mtu unasikika.
 
Uongo hizo ni story za kwenye kahawa, wewe weka tu picha iliyopigwa na hizo satellites inayoonyesha sura ya mtu
 
Uongo hizo ni story za kwenye kahawa, wewe weka tu picha iliyopigwa na hizo satellites inayoonyesha sura ya mtu
Nimekwambia sura haikuonekana maana ilikuwa ni plan view (nimekosa terminology hapa ila waliosoma Technical schools au Engineering yoyote wanaielewa)
 
Zinafanya more than that, satellite za sasa ziko so advanced
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…