Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo lako una google..Setilaiti ni kitu kinachozunguka kitu kikubwa zaidi yake mfano mwezi, dunia, sayari zingine. Satellite ziko za asili na zilizotengenezwa na binadamu kwa malengo fulani kama utafiti, mawasiliano, upigaji wa picha za mbali n.k
Safi nini sasa hapo mkuu, satellite haiwezi kuchukua picha ya mtu au sauti technology haijafika huko na ni kitu kisichowezekana. Yaani mimi niwe kwetu masugu huko sina smartphone kifaa chochote Cha kuchukulia sauti halafu satellite inipige picha Hadi viatu Kisha inirekodi sauti Kisha ikutumie wewe ujue Niko wapi, huo ni uongo. Kama hiyo satellite imeungwa labda na drone camera au kifaa Cha sauti ambacho kitakuwa karibu yangu hapo sawa.Safi mkuu
Kwenye simu yako una google map mkuu..?Safi nini sasa hapo mkuu, satellite haiwezi kuchukua picha ya mtu au sauti technology haijafika huko na ni kitu kisichowezekana. Yaani mimi niwe kwetu masugu huko sina smartphone kifaa chochote Cha kuchukulia sauti halafu satellite inipige picha Hadi viatu Kisha inirekodi sauti Kisha ikutumie wewe ujue Niko wapi, huo ni uongo. Kama hiyo satellite imeungwa labda na drone camera au kifaa Cha sauti ambacho kitakuwa karibu yangu hapo sawa.
Elewa context ya tunachokiongelea usiwe hivyo kaka, me nataka uelewa kivipi satellite iweze kuchukua sauti na picha kutoka anganiTatizo lako una google..
Je kama mbuzi akawa anakuzunguka wewe ..
Wewe na mbuzi nani atakua setillite..?
Kwenye simu yako una google map mkuu..?
Ni matter mkuu Tena sana, kwasababu sauti unayoongea na mwenzio sio electromagnetic nazungumzia radio waves. Kama umenielewa sawa kwasabu kudecode radio waves Kwa satellite inawezekana Kwa muda unavyozidi kwenda.Distance sio matter mkuu...
Kidogo noise... Kuhusu orbiting kwa satellite sio tatzoo
Ndio umejibu nini sasa mkuuSwali lako linakosa kuchangamkiwa kwa sababu ni jepesi mno. Kwa ufupi hapo ni suala la kamera. Kamera Zina uwezo wa ku zoom na kuona hadi sindano iliyopo ardhini
Oky mechanism inayofanyika hapo inaitwa voice malting converse... Hii tunasema voice inachukuliwa kupitia mnara ambao upo.karibu na weweElewa context ya tunachokiongelea usiwe hivyo kaka, me nataka uelewa kivipi satellite iweze kuchukua sauti na picha kutoka angani
Hyo google map yako unawez pata sauti ya magari unaelewa hiloIpo mkuu
Daaah mkuu mbona umeanza kujichanganya tena..Ni matter mkuu Tena sana, kwasababu sauti unayoongea na mwenzio sio electromagnetic nazungumzia radio waves. Kama umenielewa sawa kwasabu kudecode radio waves Kwa satellite inawezekana Kwa muda unavyozidi kwenda.
Ngoja wataalam waje ila sidhani kama kuna ukweli.Habarini wanajukwaa
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,ni kwamba nilimsikia mtu mmoja akisema,ati wazungu ni balaa maana wamepiga hatua kubwa kitekinolojia,kwamba wamefikia hatua yakutengeneza satellite inayoweza kukupiga picha,kuchukua video yako,hadi sauti yako,(lkn ni kama wakihamua kukufatilia na kama kuna umuhimu huo),mi nikashangaa sana,lkn bado najiuliza inawezekanaje hili kufanyika,hivyo nimeona kama itawapendeza, naamini humu kuna wasomi wa namna mbalimbali,naomba kujua je ni kweli tekinolojia imepiga hatua kiasi hicho?
Thanks
Nitoe mfano then unijibu kupitia huo mfano,mimi nipo kijijini sina simu Wala kifaa chochote Cha mawasiliano, satellite inawezaje kunipiga picha then ikachukua sauti na video kutokea angani, yaani camera zao juu huko zinizoom mpaka nilipo then zinichukue video nionekane labda nalima au nakata gogo kichakani huku sauti ya kuugulia maumivu kutokana na mapera niliyokula porini. Nieleze kwa muktadha huoOky mechanism inayofanyika hapo inaitwa voice malting converse... Hii tunasema voice inachukuliwa kupitia mnara ambao upo.karibu na wewe
Habari ya Kazuramimba Mkuu?? Mmeamkaje huko...Habarini wanajukwaa
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,ni kwamba nilimsikia mtu mmoja akisema,ati wazungu ni balaa maana wamepiga hatua kubwa kitekinolojia,kwamba wamefikia hatua yakutengeneza satellite inayoweza kukupiga picha,kuchukua video yako,hadi sauti yako,(lkn ni kama wakihamua kukufatilia na kama kuna umuhimu huo),mi nikashangaa sana,lkn bado najiuliza inawezekanaje hili kufanyika,hivyo nimeona kama itawapendeza, naamini humu kuna wasomi wa namna mbalimbali,naomba kujua je ni kweli tekinolojia imepiga hatua kiasi hicho?
Thanks
Nilipozungumzia noise cancelation sikumanisha environmental factors mana naelewa radio waves haziko affected na environmental factors ila hiyo satellite itatambua vipi hii sauti ni ya wewe inayekurecord mana wanaoongea ni wengi, tupo kwenye AI ndio lakini precision haiwezi fika 100%Daaah mkuu mbona umeanza kujichanganya tena..
Skia electromagnetic wave haziwezi kuwa affected kwa namna unayosemea wewe..
Kama unaelewa concep ya wave modulation sizani kama utabisha hili
Sasa kitu hujui umeuliza unaambiwa unasema tena uongo... we jamaa vipi?? Hamia hata Kibondo basiUongo hizo ni story za kwenye kahawa, wewe weka tu picha iliyopigwa na hizo satellites inayoonyesha sura ya mtu
Acha kujifanya mshamba mchangamfu, kutokujua kitu haifanyi hicho kitu kuwa kweli hali ya kuwa ni cha uongo, hata wewe msaidie lete picha ya mtu iliyopigwa kwa kutumia camera zilizofungwa kwenye satellite angani huko.Sasa kitu hujui umeuliza unaambiwa unasema tena uongo... we jamaa vipi?? Hamia hata Kibondo basi
Oky hyo simu yako fanya hv bonyeza 61 alafu kuna namba zitakuja... Hizo namba zitakua 6Nitoe mfano then unijibu kupitia huo mfano,mimi nipo kijijini sina simu Wala kifaa chochote Cha mawasiliano, satellite inawezaje kunipiga picha then ikachukua sauti na video kutokea angani, yaani camera zao juu huko zinizoom mpaka nilipo then zinichukue video nionekane labda nalima au nakata gogo kichakani huku sauti ya kuugulia maumivu kutokana na mapera niliyokula porini. Nieleze kwa muktadha huo
Uko serious kabisa au unaniokota tu hapa mkuuOky hyo simu yako fanya hv bonyeza 61 alafu kuna namba zitakuja... Hizo namba zitakua 6
Utaandika pembeni alafu utaandika tena #+00600#
Baada ya hapo utatumia battan za sauti utachagua WQ hapo utatuma maneno utakayo andikiwa
Hapo utatuma na utapata picha yako kama zoezi hilo litafanyika mchana itakua poa