Hivi ni kweli kuna satellite uko angani yaweza piga picha watu na kurekodi sauti katika uso wa dunia?

Alieku hadithia ameangalia movie flani inaitwa STRIKE BACK ndomana😂🙏🏽
 
Swali lako linakosa kuchangamkiwa kwa sababu ni jepesi mno. Kwa ufupi hapo ni suala la kamera. Kamera Zina uwezo wa ku zoom na kuona hadi sindano iliyopo ardhini
Huu ni uongo wa kiwango cha standard gauge. Hakuna kitu kama hicho
 
Umemaliza mkuu
 
Umeandika nini sasa
 
Si kila equation iliyopo duniani inayo prove kitu fulani theoretically kimefanyika practically. Zipo equation nying sana zimebaki kuwa theory application zake haziweza kutekelezwa.
Taja izo equation hapa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…