Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Wakuu hivi ni kweli itafika siku nitang'ata pamba na kuhifadhiwa futi 6 uko chini ya ardhi?
Hivi ni kweli kuna siku nitatoweka jumlajumla na sitaonekana popote pale juu ya huu uso mzuri wa dunia?
Wakuu mbona naona kama ni masihara. Ni kama ndoto yani.
Yani kuna siku uwepo wa kaburi ndo utabaki kuwa alama pekee kuwa niliwahi kuwepo duniani? Mbona km ukweli mchungu sana huu[emoji25]
Yani ni kweli itafika siku sitaweza kuingia tena hapa JF na kutupia chochote? meeeen! mbona hii ngumu kuprocess!
Yani itabaki historia tu kuna memba mimi nilikuwepo? Aaaiseee.
Anyway sio case.
Sasa swali langu inamaana muda huo wote mimi nitakuwa wapi wakuu? au labda namimi nitakuwa chobingo flan ameizing na sir God 'tunawapimia' waliobaki duniani na fujo zao?