Hivi ni kweli kuna siku sitakuwepo juu ya uso wa dunia?

Hivi ni kweli kuna siku sitakuwepo juu ya uso wa dunia?

Kwani kabda hujazaliwa ulipokuwa tumboni, sio ulipokuwa kwenye pumbu, No, ulipokuwa tumboni mwa mama yako, ulijua nini na ulikuwa unawaza nini?

Ulipozaliwa ulijua? When did you start to remember stuff in this short life of yours?

....now, assume that life without ROM or RAM.
Sauti uliyoyoa ulipozaliwa sio kilio, ni pumzi yako yankwanza kufungua mapafu na moyo kufanya kazi wenyewe.
Assume without that sasa......can you comprehend that?
hii ngumu kumeza
 
hii inaitwa view from below
Screenshot_20240712-210943_Instagram%20Lite.jpg
 
Yaani Mimi naogopa sana kifo .
Nikiwazaga kuwa nikifa kila ninayekutana naye namsalimia kwa heshima na hapo omba usinikute bar hata hela ya serikali nitaitoa kuwanunulia watu bia lengo nionekane mwema na ninayejua hapa duniani tunapita
 
Hapo ulipo kuna mti uliochaguliwa kwa kutoa mbao za kujenga nyumba yako ya milele, hutajua ni mti upi. Binadamu kiburi chetu kinaishia hapo. Na usile sana kwani utawapa watu kazi kubwa katika kubeba jeneza lako.
 
kumnunulia mtu bia sio upendo Wala kujali. walevi wote mwisho wao ni ziwa liwakalo moto. usimsaidie shetani kazi.

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Hapo ulipo kuna mti uliochaguliwa kwa kutoa mbao za kujenga nyumba yako ya milele, hutajua ni mti upi. Binadamu kiburi chetu kinaishia hapo. Na usile sana kwani utawapa watu kazi kubwa katika kubeba jeneza lako.
duuh tafakuri kubwa hii
 
Sio wewe tu - miaka michache tu mbele hapo - 2124 - wote humu hatutakuwepo.Yaani zote hizi kelele tunazopiga itakuwa ni sawa na bure - ubatili mtupu..
 
Wakuu hivi ni kweli itafika siku nitang'ata pamba na kuhifadhiwa futi 6 uko chini ya ardhi?

Hivi ni kweli kuna siku nitatoweka jumlajumla na sitaonekana popote pale juu ya huu uso mzuri wa dunia?

Wakuu mbona naona kama ni masihara. Ni kama ndoto yani.

Yani kuna siku uwepo wa kaburi ndo utabaki kuwa alama pekee kuwa niliwahi kuwepo duniani? Mbona km ukweli mchungu sana huu[emoji25]

Yani ni kweli itafika siku sitaweza kuingia tena hapa JF na kutupia chochote? meeeen! mbona hii ngumu kuprocess!

Yani itabaki historia tu kuna memba mimi nilikuwepo? Aaaiseee.

Anyway sio case.

Sasa swali langu inamaana muda huo wote mimi nitakuwa wapi wakuu? au labda namimi nitakuwa chobingo flan ameizing na sir God 'tunawapimia' waliobaki duniani na fujo zao?
 
Back
Top Bottom