Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TAKIBIIIIRUkifika peponi unapokelewa na bikra 72 na mito ya pombe na internal viagra utakuwa unajichapia zako nyapu tuu
Ila mbona hao ndio walianza kumjua mungu kabla ya Mohammad?Mkuu wagalatia hawaelewi watakuja hapa nakukubishia wakisema hakuna kitu kama hicho
hayaNi mawazo yangu ,nasubiri na mchango wako mkuu[emoji120]
Utakufa tu muda ukifkaWe nae tutolee upumbafu hapa! Ebo!
Hivi huo si ni uwendawazimu?Ukifika peponi unapokelewa na bikra 72 na mito ya pombe na internal viagra utakuwa unajichapia zako nyapu tuu
Upi?Hivi huo si ni uwendawazimu?
Kama ambayo hukuwepo awali basi ndivyo itakavyokuwa.Wakuu hivi ni kweli itafika siku nitang'ata pamba na kuhifadhiwa futi 6 uko chini ya ardhi?
Hivi ni kweli kuna siku nitatoweka jumlajumla na sitaonekana popote pale juu ya huu uso mzuri wa dunia?
Wakuu mbona naona kama ni masihara. Ni kama ndoto yani.
Yani kuna siku uwepo wa kaburi ndo utabaki kuwa alama pekee kuwa niliwahi kuwepo duniani? Mbona km ukweli mchungu sana huu[emoji25]
Yani ni kweli itafika siku sitaweza kuingia tena hapa JF na kutupia chochote? meeeen! mbona hii ngumu kuprocess!
Yani itabaki historia tu kuna memba mimi nilikuwepo? Aaaiseee.
Anyway sio case.
Sasa swali langu inamaana muda huo wote mimi nitakuwa wapi wakuu? au labda namimi nitakuwa chobingo flan ameizing na sir God 'tunawapimia' waliobaki duniani na fujo zao?
Na siku yenyewe wala haiko mbali.Wakuu hivi ni kweli itafika siku nitang'ata pamba na kuhifadhiwa futi 6 uko chini ya ardhi?
Hivi ni kweli kuna siku nitatoweka jumlajumla na sitaonekana popote pale juu ya huu uso mzuri wa dunia?
Wakuu mbona naona kama ni masihara. Ni kama ndoto yani.
Yani kuna siku uwepo wa kaburi ndo utabaki kuwa alama pekee kuwa niliwahi kuwepo duniani? Mbona km ukweli mchungu sana huu[emoji25]
Yani ni kweli itafika siku sitaweza kuingia tena hapa JF na kutupia chochote? meeeen! mbona hii ngumu kuprocess!
Yani itabaki historia tu kuna memba mimi nilikuwepo? Aaaiseee.
Anyway sio case.
Sasa swali langu inamaana muda huo wote mimi nitakuwa wapi wakuu? au labda namimi nitakuwa chobingo flan ameizing na sir God 'tunawapimia' waliobaki duniani na fujo zao?
Wa mabikra 72Upi?
usingizi na kifo vinafanana?[emoji848]?kwani hujawahi kujiuliza unapokuwa kwenye usingizi mzito huwa unakuwa uko wapi. Anzia hapo.