Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ilikuwa wapi kabla ya kuzaliwa?Wakuu hivi ni kweli itafika siku nitang'ata pamba na kuhifadhiwa futi 6 uko chini ya ardhi?
Hivi ni kweli kuna siku nitatoweka jumlajumla na sitaonekana popote pale juu ya huu uso mzuri wa dunia?
Wakuu mbona naona kama ni masihara. Ni kama ndoto yani.
Yani kuna siku uwepo wa kaburi ndo utabaki kuwa alama pekee kuwa niliwahi kuwepo duniani? Mbona km ukweli mchungu sana huu[emoji25]
Yani ni kweli itafika siku sitaweza kuingia tena hapa JF na kutupia chochote? meeeen! mbona hii ngumu kuprocess!
Yani itabaki historia tu kuna memba mimi nilikuwepo? Aaaiseee.
Anyway sio case.
Sasa swali langu inamaana muda huo wote mimi nitakuwa wapi wakuu? au labda namimi nitakuwa chobingo flan ameizing na sir God 'tunawapimia' waliobaki duniani na fujo zao?
Mkuu huko mochware mnapaovarate. Zaidi ya kumtunza miili ya binadamu isiyo hai, kuna nini cha ziada?Hili jambo linatisha sana sana hasa ukifanya Kazi mochwari kama Mimi na yale tunayokutana nayo huko
Hakika utakufa; bila shaka, hakuna namna nyingine!!Wakuu hivi ni kweli itafika siku nitang'ata pamba na kuhifadhiwa futi 6 uko chini ya ardhi?
Hivi ni kweli kuna siku nitatoweka jumlajumla na sitaonekana popote pale juu ya huu uso mzuri wa dunia?
Wakuu mbona naona kama ni masihara. Ni kama ndoto yani.
Yani kuna siku uwepo wa kaburi ndo utabaki kuwa alama pekee kuwa niliwahi kuwepo duniani? Mbona km ukweli mchungu sana huu[emoji25]
Yani ni kweli itafika siku sitaweza kuingia tena hapa JF na kutupia chochote? meeeen! mbona hii ngumu kuprocess!
Yani itabaki historia tu kuna memba mimi nilikuwepo? Aaaiseee.
Anyway sio case.
Sasa swali langu inamaana muda huo wote mimi nitakuwa wapi wakuu? au labda namimi nitakuwa chobingo flan ameizing na sir God 'tunawapimia' waliobaki duniani na fujo zao?
RIP mkuu.Wakuu hivi ni kweli itafika siku nitang'ata pamba na kuhifadhiwa futi 6 uko chini ya ardhi?
Hivi ni kweli kuna siku nitatoweka jumlajumla na sitaonekana popote pale juu ya huu uso mzuri wa dunia?
Wakuu mbona naona kama ni masihara. Ni kama ndoto yani.
Yani kuna siku uwepo wa kaburi ndo utabaki kuwa alama pekee kuwa niliwahi kuwepo duniani? Mbona km ukweli mchungu sana huu[emoji25]
Yani ni kweli itafika siku sitaweza kuingia tena hapa JF na kutupia chochote? meeeen! mbona hii ngumu kuprocess!
Yani itabaki historia tu kuna memba mimi nilikuwepo? Aaaiseee.
Anyway sio case.
Sasa swali langu inamaana muda huo wote mimi nitakuwa wapi wakuu? au labda namimi nitakuwa chobingo flan ameizing na sir God 'tunawapimia' waliobaki duniani na fujo zao?
Tunakwenda MawinguniSio wewe tu mkuu hata mimi pia
View attachment 3036685
kuamini kwenye reincarnation ni Imani potofuDoes this thing real happen?
Any evidence?