Hivi ni kweli kuna siku sitakuwepo juu ya uso wa dunia?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ halafu mara nyingi wanaomtolea macho mjane ni wale rafiki wa karibu
 
Hapo bado haujawaza vizuri, yaani ni hivi, muda wowote na dk yoyote bila hata kujiandaa au kujipanga utajikuta unalamba vumbi.

  • mkeo atatafuta wa kumtimizia haja maana haupo
  • hautakuwa na access ya biashara au mali zako ulizozitolea jasho wajanja watagawanya
  • Marafiki watapata muda wa kujadili mazuri yako hata kama hawakufanya hivyo ukiwa hai, huku wakishushia na bia
  • Kama ulikuwa unapenda sana chini kwa wanawake utakuwa umeacha balaa zito hasa kama umeacha watoto wa nje
  • Mbaya zaidi kama pamoja na kwamba padri/pastor atakufanyia sala lakini matendo yako yataambatana na wewe, cha kujiuliza ni hiki je, huko aendako mwenyeji wako atakuwa nani??
 
Wewe ni nani kwanza?
 
Kuna mmoja alisema atafika uchaguzi wa 2000 hatimae ...............

Ikawa historia mpka leo
 
Ndio maana mimi nikifikia kuwaza hapo tu huwa naagiza Konyagi inipe majibu.

Halafu Konyagi inaniambia kweni kabla hujazaliwa miaka miambili iliyopita ulikuwa wapi Mzee...??shusha Gilasi Mzee....nami naitikia naam...

Lakini kuna kipindi naota Ndoto nzuri sana mpaka najiuliza labda huko tuendako ndiko kuko hivyoπŸ€”
 
Na uzuri wake hutajijua kama ushatoweka hapa duniani...inauma kuwaza ila ikifika tutatoweka na wapendwa wetu watatusahau bada ya mda tu
 
Hapana utaenda kuzimu
 
Mkuu unajipa pressure kwa mambo yasiyokuwa na umuhimu , furahia kila nafasi ya pumzi unayoipata huku ukijua kuna kipindi kirefu sana dunia iliendelea tu bila hata uwepo wako kabla ya wewe kuzaliwa.
mkuu jambo linahusu UHAI unasema halina umuhimu? [emoji848]kipi kitakuwa muhimu kwako sasa?
 
kwani hujawahi kujiuliza unapokuwa kwenye usingizi mzito huwa unakuwa uko wapi. Anzia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…