Hivi ni kweli kuna siku sitakuwepo juu ya uso wa dunia?

hii ngumu kumeza
 
Yaani Mimi naogopa sana kifo .
Nikiwazaga kuwa nikifa kila ninayekutana naye namsalimia kwa heshima na hapo omba usinikute bar hata hela ya serikali nitaitoa kuwanunulia watu bia lengo nionekane mwema na ninayejua hapa duniani tunapita
 
Hapo ulipo kuna mti uliochaguliwa kwa kutoa mbao za kujenga nyumba yako ya milele, hutajua ni mti upi. Binadamu kiburi chetu kinaishia hapo. Na usile sana kwani utawapa watu kazi kubwa katika kubeba jeneza lako.
 
kumnunulia mtu bia sio upendo Wala kujali. walevi wote mwisho wao ni ziwa liwakalo moto. usimsaidie shetani kazi.

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Hapo ulipo kuna mti uliochaguliwa kwa kutoa mbao za kujenga nyumba yako ya milele, hutajua ni mti upi. Binadamu kiburi chetu kinaishia hapo. Na usile sana kwani utawapa watu kazi kubwa katika kubeba jeneza lako.
duuh tafakuri kubwa hii
 
Sio wewe tu - miaka michache tu mbele hapo - 2124 - wote humu hatutakuwepo.Yaani zote hizi kelele tunazopiga itakuwa ni sawa na bure - ubatili mtupu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…