Kama nakuelewa hv mkuu [emoji817]Unaweza ukawa Tajiri kwa kuajiriwa kwa njia mbili kubwa :-
1. Uwe unalipwa mshahara mkubwa sana.
2. Uwe una matumizi madogo sana, kutoka kwenye huo mshahara.
Kisha ufanye kazi kwa muda wa maisha yako yote. Otherwise, sahau kuwa tajiri kwa kutegemea ordinary paycheck.
Tupe basi madini.ungefanyaje mimi pia nina age 22 napambania kombe mjini hapaNautamani huo Umri wako aisee, yaani na huu ufahamu nilonao sasa kutajirika hata kama ingeshindikana ila ningekuwa napigania Kombe Moja tu .... 🤗
Pia ajishughulishe na Mambo mengineyo tofauti na hayo kwani Kuna kufukuzwa kazi piaUnaweza ukawa Tajiri kwa kuajiriwa kwa njia mbili kubwa :-
1. Uwe unalipwa mshahara mkubwa sana.
2. Uwe una matumizi madogo sana, kutoka kwenye huo mshahara.
Kisha ufanye kazi kwa muda wa maisha yako yote. Otherwise, sahau kuwa tajiri kwa kutegemea ordinary paycheck.
Kwani kujiajiri nako si kuajiriwa?Kwema wakuu?
Mimi ni kijana wa miaka 20 na ndo kwanza nimeanza maisha ya kujitegemea na ndoto yangu ni kuwa tajiri siku moja.
Nimekua nikisikia baadhi ya watu hasa hawa motivational speakers wakisema kuwa huwezi kutajirika kama utafanya kazi za kuajiriwa tu na hii imenifanya kuona kama sipo kwenye njia sahihi ya kutimiza ndoto yangu.
Imekaaje hii wadau, kuna ukweli ndani yake?
Mkuu Shabiby alinunua gari yake ya YuTong akiwa na miaka 19 kwhy usimtishe eti kisa umri wake mdogoKabla hujatuuliza hilo swali tuoneshe tajiri mmoja tu ambaye unamfahamu ameajiliwa.
Halafu hakuna tajiri wa umri wako labda wa kurithi au land of opportunity kama Marekani.
Kwa nchi za dunia ya tatu una miaka mingine 20 ya kuukaribia utajiri kama utafanikiwa kujiajiri Kwa mafanikio.
Broh chai bila tangawizi hainogi..Mkuu Shabiby alinunua gari yake ya YuTong akiwa na miaka 19 kwhy usimtishe eti kisa umri wake mdogo
Hata nikiiba?🤔🤔Kwema wakuu?
Mimi ni kijana wa miaka 20 na ndo kwanza nimeanza maisha ya kujitegemea na ndoto yangu ni kuwa tajiri siku moja.
Nimekua nikisikia baadhi ya watu hasa hawa motivational speakers wakisema kuwa huwezi kutajirika kama utafanya kazi za kuajiriwa tu na hii imenifanya kuona kama sipo kwenye njia sahihi ya kutimiza ndoto yangu.
Imekaaje hii wadau, kuna ukweli ndani yake?
Si kweli. Inategemea na jinsi unavyotumia kipato chako, je unajiwekea akiba ambayo ikiwa nyingi utaweza kufanya uwekezaji? Au kila ipatacho huishia viti virefu kuipombea na kuifuskia?Kwema wakuu?
Mimi ni kijana wa miaka 20 na ndo kwanza nimeanza maisha ya kujitegemea na ndoto yangu ni kuwa tajiri siku moja.
Nimekua nikisikia baadhi ya watu hasa hawa motivational speakers wakisema kuwa huwezi kutajirika kama utafanya kazi za kuajiriwa tu na hii imenifanya kuona kama sipo kwenye njia sahihi ya kutimiza ndoto yangu.
Imekaaje hii wadau, kuna ukweli ndani yake?
Agreed [emoji817]Una probability kubwa ya kuwa tajiri. Kama umeanza kuyaona mambo haya kwa umri huu (kama umesema kweli, maana wengine wanadanganya umri), kama una nia, hapana shaka utatumia muda wako na rasilimali utakazojaliwa kuutafuta utajiri. Siku zote penye nia kuna njia, tunakutakia kila la heri katika kutimiza ndoto yako ya utajiri. Kikubwa, unatakiwa kuijua thamani ya pesa hata iwe ndogo kiasi gani, kwani hiyo pesa ndogo ndio hukua na kuwa kubwa. Usitumie pesa ovyo, hata watu wakisema wewe ni bahili, usijali bali angalia malengo yako. BE AGGRESSIVE ON MONEY!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwema wakuu?
Mimi ni kijana wa miaka 20 na ndo kwanza nimeanza maisha ya kujitegemea na ndoto yangu ni kuwa tajiri siku moja.
Nimekua nikisikia baadhi ya watu hasa hawa motivational speakers wakisema kuwa huwezi kutajirika kama utafanya kazi za kuajiriwa tu na hii imenifanya kuona kama sipo kwenye njia sahihi ya kutimiza ndoto yangu.
Imekaaje hii wadau, kuna ukweli ndani yake?
Kabla hujatuuliza hilo swali tuoneshe tajiri mmoja tu ambaye unamfahamu ameajiliwa.
Halafu hakuna tajiri wa umri wako labda wa kurithi au land of opportunity kama Marekani.
Kwa nchi za dunia ya tatu una miaka mingine 20 ya kuukaribia utajiri kama utafanikiwa kujiajiri Kwa mafanikio.
We kwa kuishi kwako miaka 20 unaonaje mdogo wangu