Hivi ni kweli mganga anaweza kufanya mwanamke asiekupenda akakupenda?!

Hivi ni kweli mganga anaweza kufanya mwanamke asiekupenda akakupenda?!

Mwanangikolo

Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
63
Reaction score
105
Kwema wakulungwa.

Hii imenitokea juzi kuna demu ananisumbua sana apa mtaani nishamtongoza sana ila kunpa mchezo anazngua sasa nkawa nmemsimulia jamaa ang mmoja akanishauri nmchek mtaalamu mmoja yupo uko mkoan baada ya kuongea na uyo mtaalam kasema nmtumie majina ya uyo dem na hela ya kaz sh elfu 7 tu! (apa me mwenyewe nmepgwa na bumbuwazi kwa hela ya kazi kuwa ndogo hvo).

Apa npo nafanya mchakato wa kutafta hyo hela anpgie hyo kazi ila je ni kwel wakulungwa hili jambo lnawezekana na nkafnikiwa kuila papuchi ya uyu dem?

Naomba wenye ushahidi na aya mambo waje wanipe ukwel apa.

Njian kwenda tunisia kumushabkia mwananchi😎
 
Inawezekana ila mapenz ya ndumba huwaga siyo mazuri.. kama imeshindikana achana nae tu maana mapenz hayalazimishwi. pia huwa kuna mauzauza sana unaweza kudhan kwel umelala na huyo dem kumbe ni fisi so kuwa makin mkuu
 
Duuhhh
 
Back
Top Bottom