Hivi ni kweli mganga anaweza kufanya mwanamke asiekupenda akakupenda?!

Kwema wakulungwa.

Hii imenitokea juzi kuna demu ananisumbua sana apa mtaani nishamtongoza sana ila kunpa mchezo anazngua sasa nkawa nmemsimulia jamaa ang mmoja akanishauri nmchek mtaalamu mmoja yupo uko mkoan baada ya kuongea na uyo mtaalam kasema nmtumie majina ya uyo dem na hela ya kaz sh elfu 7 tu! (apa me mwenyewe nmepgwa na bumbuwazi kwa hela ya kazi kuwa ndogo hvo).

Apa npo nafanya mchakato wa kutafta hyo hela anpgie hyo kazi ila je ni kwel wakulungwa hili jambo lnawezekana na nkafnikiwa kuila papuchi ya uyu dem?

Naomba wenye ushahidi na aya mambo waje wanipe ukwel apa.

Njian kwenda tunisia kumushabkia mwananchi[emoji41]
Tuma pesa na jina Hilo,,, jogoo hatawika mara 3[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ushanyandua huyo. Tena atakutafuta mwenyewe,,, utasikia "Fulani umepotelea wapi,,,, mara umekuwa adimu,,, mara ivi ulikuwa seriously au " hapo tayari mtu ashaelekea kibra.
 
Hiyo elfu 7 ni bora ununue bia 3 kuliko kukubali kutapeliwa kizembe hivyo
 
Ndio ila kwa mda tu lakini sio wakati wote kwasababu ipo siku akili zake zitarudi tu na atazinduka kutoka usingizini.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Tuma pesa na jina Hilo,,, jogoo hatawika mara 3[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ushanyandua huyo. Tena atakutafuta mwenyewe,,, utasikia "Fulani umepotelea wapi,,,, mara umekuwa adimu,,, mara ivi ulikuwa seriously au " hapo tayari mtu ashaelekea kibra.
Cjakuelewa mkuu umemanisha nn
 
Kwema wakulungwa.

Hii imenitokea juzi kuna demu ananisumbua sana apa mtaani nishamtongoza sana ila kunpa mchezo anazngua sasa nkawa nmemsimulia jamaa ang mmoja akanishauri nmchek mtaalamu mmoja yupo uko mkoan baada ya kuongea na uyo mtaalam kasema nmtumie majina ya uyo dem na hela ya kaz sh elfu 7 tu! (apa me mwenyewe nmepgwa na bumbuwazi kwa hela ya kazi kuwa ndogo hvo).

Apa npo nafanya mchakato wa kutafta hyo hela anpgie hyo kazi ila je ni kwel wakulungwa hili jambo lnawezekana na nkafnikiwa kuila papuchi ya uyu dem?

Naomba wenye ushahidi na aya mambo waje wanipe ukwel apa.

Njian kwenda tunisia kumushabkia mwananchi😎
Pesa ya mganga hadi utafute, Si bora hyo pesa ukipata ukabet hata genye huwez kua nazo.
 
Hapo kwenye kukataliwa kwako ni kwamba unanuka umaskini. Kama 7000 ya mganga huna basi wewe ni fukara ambaye unastahili kukataliwa. Nakushauri tafuta Tsh 3000/= uende kwenye kilabu cha pombe za kienyeji kilichopo karibu nawe upate wa hadhi yako. Pia mganga hiyo 7k ni kianzio tu... anaweza kukwambia kuna dawa ya kwenda nayo makaburini usiku wa manane na kama huwezi umpe 30k aende kwa niaba yako.
 
Kwema wakulungwa.

Hii imenitokea juzi kuna demu ananisumbua sana apa mtaani nishamtongoza sana ila kunpa mchezo anazngua sasa nkawa nmemsimulia jamaa ang mmoja akanishauri nmchek mtaalamu mmoja yupo uko mkoan baada ya kuongea na uyo mtaalam kasema nmtumie majina ya uyo dem na hela ya kaz sh elfu 7 tu! (apa me mwenyewe nmepgwa na bumbuwazi kwa hela ya kazi kuwa ndogo hvo).

Apa npo nafanya mchakato wa kutafta hyo hela anpgie hyo kazi ila je ni kwel wakulungwa hili jambo lnawezekana na nkafnikiwa kuila papuchi ya uyu dem?

Naomba wenye ushahidi na aya mambo waje wanipe ukwel apa.

Njian kwenda tunisia kumushabkia mwananchi😎
Jaribu, utupe mrejesho
 
Inawezekana kuna kipindi frani niliwai kupewa dawa frani hivi hivi una mix na mafuta ya kupaka huku una nena kwa kumwambia mwanamke akupende, hiyo issue ni nomaa dem akikuona moyo lazma umlipuke na atakuwaza muda wowote ule, shida ya ile dawa ni ukioga tu inaishia hapo hapo kama mpo lodge make sure ugusi maji[emoji1] yalinishinda nukayatupaga chooni
 
Tupe namba za mganga
 
Kwema wakulungwa.

Hii imenitokea juzi kuna demu ananisumbua sana apa mtaani nishamtongoza sana ila kunpa mchezo anazngua sasa nkawa nmemsimulia jamaa ang mmoja akanishauri nmchek mtaalamu mmoja yupo uko mkoan baada ya kuongea na uyo mtaalam kasema nmtumie majina ya uyo dem na hela ya kaz sh elfu 7 tu! (apa me mwenyewe nmepgwa na bumbuwazi kwa hela ya kazi kuwa ndogo hvo).

Apa npo nafanya mchakato wa kutafta hyo hela anpgie hyo kazi ila je ni kwel wakulungwa hili jambo lnawezekana na nkafnikiwa kuila papuchi ya uyu dem?

Naomba wenye ushahidi na aya mambo waje wanipe ukwel apa.

Njian kwenda tunisia kumushabkia mwananchi😎
Mganga mwenyewe hakupendi wala mke wake hampendi atakusaidia nini? Kwani yeye Mungu au ukumbaff wako?
 
Sasa kama mpaka 7000 inabidi uitafute hudhani ungehangaikia kuboresha maisha yako kwanza??

Hiyo pesa unamtumia rafiki yake huyo aliekuelekeza huyo mganga. Watagwana hela ya vocha halafu wakuaminishe ujinga.

Mchawi wa kukataliwa kwako na huyo demu hakuhitaji tiba ya kienyeji, kunahitaji jitihada zako za kutafuta pesa. Atakuja mwenyewe na mapenzi kedekede.
 
Back
Top Bottom