Hivi ni kweli mganga anaweza kufanya mwanamke asiekupenda akakupenda?!

Ni kweli nilienda kwa mganga akanipa dawa ya kupendwa khee nikaenda zangu nikakutana na demu njiani tu nikamkumbatia nilipigwa kofi sitasahau mpka leo sitak kusikia waganga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ipo kweli hiyo dawa, na waganga wapoo.
Njoo nikupe connection.
 
Umemtongoza sana, ila kukupa chezo hataki, maanake si hakutaki maana kakuona unataka chezo tu.

Hiyo hiyo hela ya mganga si ukanunue chezo Buguruni Kimboka u save muda.
 
Dawa zikiisha atageuka kuwa adui yako
 
Mwambie huyo mganga akupe dawa ya mvuto wa hela kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…