Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,177
- 2,553
- Thread starter
-
- #101
Kuna league huko asian, league za chinichini kuna timu huwa zinashindaga tu.....hii ni kweli kabisaKuna dogo namfahamu amemjengea Mama yake nyumba Tanga na yeye kajenga mbagala kwasababu ya betting, kwasababu yeye kwao ni waislam, hakuna anayejua, wanadhani ni kazi yake kwenye kampuni ya Muhindi 😀,ila dogo anafuatilia hadi bingwa wa Tajikistan, Jamaica au nchi yoyote ambayo wewe hujawahi ifikiria..... anaweza kukupa top five.......
Mkuu flagyl yule dogo kazi anayoifanya acha tu afanye betting Kama moja ya kuingiza kipato,maana hata timu iliyoshuka daraja Iraq anaijuaKuna league huko asian, league za chinichini kuna timu huwa zinashindaga tu.....hii ni kweli kabisa
Hizi ni Hadithi mkuuKuna dogo namfahamu amemjengea Mama yake nyumba Tanga na yeye kajenga mbagala kwasababu ya betting, kwasababu yeye kwao ni waislam, hakuna anayejua, wanadhani ni kazi yake kwenye kampuni ya Muhindi 😀,ila dogo anafuatilia hadi bingwa wa Tajikistan, Jamaica au nchi yoyote ambayo wewe hujawahi ifikiria..... anaweza kukupa top five.......
Odds unazipataje kama hujui matokeo ya league mbalimbali?Hizi ni Hadithi mkuu
Ubashiri sio timu kuwa bingwa bali ni Odds
Odds za mabingwa unazijua wewe? Msimu mzima odd nzuri za Yanga zilikua dhidi ya Simba na Azam kidogo
Hata hapa Bongo Yanga na Simba mbona huwa zinashinda zaidi ya 90% ya game zao zoteKuna league huko asian, league za chinichini kuna timu huwa zinashindaga tu.....hii ni kweli kabisa
Bingwa wa Takjistani anayeshinda game zake kwa 90% odd zake zitakua zinacheza kwenye 1.07 kama unavyoona Odd za Yanga dhidi ya Polisi Kagera, Reli nk nkOdds unazipataje kama hujui matokeo ya league mbalimbali?
Sasa kama ndio kama kazi yake,, lazima ajue timu zote duniani in and out......ni kama kazi yoyote ukiifanya kwa mda mrefu unakuwa expert hakuna mtu anaweza kukudanganya chochote,,So nakubaliana na wwMkuu flagyl yule dogo kazi anayoifanya acha tu afanye betting Kama moja ya kuingiza kipato,maana hata timu iliyoshuka daraja Iraq anaijua
Mtu anatafuta odd 2 tu anatia pesa ndefu kamaliza shughuli.....cha msingi apate timu mbili au tatu za uhakika,Bingwa wa Takjistani anayeshinda game zake kwa 90% odd zake zitakua zinacheza kwenye 1.07 kama unavyoona Odd za Yanga dhidi ya Polisi Kagera, Reli nk nk
Hivi mnaposema “anazijua” timu huwa mnamaanisha nini?Mkuu flagyl yule dogo kazi anayoifanya acha tu afanye betting Kama moja ya kuingiza kipato,maana hata timu iliyoshuka daraja Iraq anaijua
Mkuu umewahi kubeti?Mtu anatafuta odd 2 tu anatia pesa ndefu kamaliza shughuli.....cha msingi apate timu mbili au tatu za uhakika,
Hivi unajua msimu huu iliyoisha kuna kipindi Yanga mechi zake za NBC zilikuwa haziwekwi kwenye ratiba za makampuni ya betting mengi, unajua ni kwa sbb gani????.....simple makampuni yalikuwa yanaliwa sana coz mtu anaweka mzigo mrefu sanaa alafu booom!! Anapiga pesaHivi mnaposema “anazijua” timu huwa mnamaanisha nini?
Kwani kuzijua timu ndio guarantee ya kujua matokeo
Hata ukiijua Yanga itashinda game zake zote bado sio kigezo cha kupiga hela kwasababu odds zitakuwa against mtaji wako siku akitoa tu draw
Nikuulize.....kwa mfano lets say; msimu huu nimeamua kutenga 100m kubetia Yanga na Simba strategically kwenye mechi za ndani tu.....unahisi mpaka msimu kuisha nitatoka kapa??.....no lazima nitoke na pesa ndefu tuu.....sijakataa kuchanika mkeka kupo kama loss kwenye biashara nyingine yyteMkuu umewahi kubeti?
hakuna kitu kinaitwa unatafuta…. Kuna kubahatisha tu. No guarantee
Kumbe unajua mkuuHivi unajua msimu huu iliyoisha kuna kipindi Yanga mechi zake za NBC zilikuwa haziwekwi kwenye ratiba za makampuni ya betting mengi, unajua ni kwa sbb gani????.....simple makampuni yalikuwa yanaliwa sana coz mtu anaweka mzigo mrefu sanaa alafu booom!! Anapiga pesa
Mtu anatafuta 1.5 anaweka mzigo mrefu mfano 30M hapo anatafuta 1M per Day, kwa wiki 7M kwa mwezi 30M+.......mwenzako huyo?.........sema kitu kibaya ni ile tamaa tu ya kutaka kupata zaidi,, ila ukiweza kuBet kinidhamu inawezekana ni mahesabu tuKumbe unajua mkuu
Kampuni za betting kwanza kabisa haziweki ligi dhaifu na wakiziweka basi wana limit stake
Timu inayoshinda kila game haiwezi kukupa hela kwasababu odd zake zitakua ndogo mmno 1.05…. Uta stake sh ngapi upige hela?
Kampuni za betting sio wajinga odd nzuri utazipa kwenye game ngumu kutabiri matokeo, game rahisi wanafinya odd
Hapa Bongo weekend ulikua ukichukua Simba Yanga na Azam Win odd hazifiki hata 1.5
Lakini Polisi Vs Namungu Odd 2.3 kwa odd 2.1
Mkuu nimebet sana sana najua ninachokwambiaMtu anatafuta 1.5 anaweka mzigo mrefu mfano 30M hapo anatafuta 1M per Day, kwa wiki 7M kwa mwezi 30M+.......mwenzako huyo?.........sema kitu kibaya ni ile tamaa tu ya kutaka kupata zaidi,, ila ukiweza kuBet kinidhamu inawezekana ni mahesabu tu
Hujasema, anabeti tu au anaendesha biashara ya betting?Kuna yule jamaa kule twitter anaitwa Sativa17... nilikuwa nafuatilia video yake akielezea jinsi alivyotekwa na kunusurika kufa baada ya kupigwa risasi ya kichwa.
Aliulizwa anafanya kazi gani akadai anafanya betting ( michezo ya kubashiri ) tu, hafanyi inshu nyingine yoyote na kupitia hiyo betting ndio anaendesha maisha yake.
Sasa nimetafakari, hivi ni kweli hii? mtu anaweza kuishi kwa kupitia betting bila kufanya shughuli nyingine za kumuingiza kipato.
NB😛 pia huyo jamaa ni most wanted na watekaji wa nchi hii ( kwa madai yake mwenyewe ), so inawezekana kwa sababu kazi yake ni hiyo ya betting inamsaidia asikamatwe na watekaji?
@sativa17 @kayombotip Ser Kamotee JITU BANDIA Lwiva n.kKuna yule jamaa kule twitter anaitwa Sativa17... nilikuwa nafuatilia video yake akielezea jinsi alivyotekwa na kunusurika kufa baada ya kupigwa risasi ya kichwa.
Aliulizwa anafanya kazi gani akadai anafanya betting ( michezo ya kubashiri ) tu, hafanyi inshu nyingine yoyote na kupitia hiyo betting ndio anaendesha maisha yake.
Sasa nimetafakari, hivi ni kweli hii? mtu anaweza kuishi kwa kupitia betting bila kufanya shughuli nyingine za kumuingiza kipato.
NB😛 pia huyo jamaa ni most wanted na watekaji wa nchi hii ( kwa madai yake mwenyewe ), so inawezekana kwa sababu kazi yake ni hiyo ya betting inamsaidia asikamatwe na watekaji?
Mbona wengi tu mpaka madingii kabisa!Kuna yule jamaa kule twitter anaitwa Sativa17... nilikuwa nafuatilia video yake akielezea jinsi alivyotekwa na kunusurika kufa baada ya kupigwa risasi ya kichwa.
Aliulizwa anafanya kazi gani akadai anafanya betting ( michezo ya kubashiri ) tu, hafanyi inshu nyingine yoyote na kupitia hiyo betting ndio anaendesha maisha yake.
Sasa nimetafakari, hivi ni kweli hii? mtu anaweza kuishi kwa kupitia betting bila kufanya shughuli nyingine za kumuingiza kipato.
NB😛 pia huyo jamaa ni most wanted na watekaji wa nchi hii ( kwa madai yake mwenyewe ), so inawezekana kwa sababu kazi yake ni hiyo ya betting inamsaidia asikamatwe na watekaji?