Hivi ni kweli serikali haifahamu kero ya usafiri wa mabasi ya Mwendokasi?

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Ukimya wa serikali wa kutatua changamoto ya huu usafiri binafsi unanipa wasiwasi huenda serikali haifahamu izi shida ambazo wananchi wanao tumia usafir huu tunakutana nao.

Jana Jumatatu pale Gerezani nilitumia masaa 3 na dakika nyingi kusubiri usafiri, imagine nimefika pale saa 10 jioni nakuja kupata usafir saa 1 na nusu usiku, yaan watu walikuwa wengi kupindukia mistari ya foleni ilikuwa ni miwili miwili ambayo imesheheni watu wanasubiri mabasi wasafiri nayo,

wale sijui ni askari wa vile vituo na wao wana jiona wana mamlaka ya pekeesana juu ya sheria za nchi, yaan unakuta askari ana mtishia kumpiga abiria imagine.

Ifike pahala serikali, wafanyamaamuzi ktk level ya wizara embu tazameni hii kero na muitatue.. kama nikuongeza mabasi then mfanye kwa uharaka.

Kama ni kuusitisha huu usafiri basi mrejeshe daladala zileza zaman.
 
Viongozi wa Tanzania wako bize kuichangia Timu ya taifa
 
Ukimya wa serikali wa kutatua changamoto ya huu usafiri binafsi unanipa wasiwasi huenda serikali haifahamu izi shida ambazo wananchi wanao tumia usafir huu tunakutana nao.

Jana Jumatatu pale Gerezani nilitumia masaa 3 na dakika nyingi kusubiri usafiri, imagine nimefika pale saa 10 jioni nakuja kupata usafir saa 1 na nusu usiku, yaan watu walikuwa wengi kupindukia mistari ya foleni ilikuwa ni miwili miwili ambayo imesheheni watu wanasubiri mabasi wasafiri nayo, wale sijui ni askari wa vile vituo na wao wana jiona wana mamlaka ya pekeesana juu ya sheria za nchi, yaan unakuta askari ana mtishia kumpiga abiria imagine.

Ifike pahala serikali, wafanyamaamuzi ktk levwl ya wizara embu tazqmeni hii kero na muitatue.. kama nikuongeAa mabasi then mfanye kwa uharaka.

Kama ni kuusitisha huu usafiri basi mrejeshe daladala zileza zaman
Ni huzuni.
Muda unapotea sana vituoni
 
Bus zipo chache waliopewa Tenda hawataki kuachia maana ni mradi wa watu tu huo bus zipo za kumwaga huko viwandani harafu eti unaambiwa kwenye Mwendokasi hakuna bus na wakileta wanaleta Ma mchina yao hayo ambayo hayadumu na wahuni wanaiba parts weka Scania hapo harafu ajili watu wa kulinda hilo bus kila safari yupo humo ndani kama betri toka linapotoka mpaka lina park usiku kitu kikipotea yeye ndio anawajibika na pia ziwepo sheria kali kuhusu hizo Mali za watu kama pana uharibifu wowote sio kama sasa hivi...
 
Yaan ni aibu alafu eti mtu unajipanga kuandaa AFCON 2027 imagine mji ujae wageni let say 50,000 tu ..si itakuwa ni mtafutano hapa Dsm

Maana hawa Udart hawata weza kuwa kusafirisha watu wote hawa na huu ndio ukweli
Yaani wageni waje kwa ajili ya AFCON halafu wawe wanategemea usafiri wa UDART! Maajabu.
 
Ukimya wa serikali wa kutatua changamoto ya huu usafiri binafsi unanipa wasiwasi huenda serikali haifahamu izi shida ambazo wananchi wanao tumia usafir huu tunakutana nao.

Jana Jumatatu pale Gerezani nilitumia masaa 3 na dakika nyingi kusubiri usafiri, imagine nimefika pale saa 10 jioni nakuja kupata usafir saa 1 na nusu usiku, yaan watu walikuwa wengi kupindukia mistari ya foleni ilikuwa ni miwili miwili ambayo imesheheni watu wanasubiri mabasi wasafiri nayo, wale sijui ni askari wa vile vituo na wao wana jiona wana mamlaka ya pekeesana juu ya sheria za nchi, yaan unakuta askari ana mtishia kumpiga abiria imagine.

Ifike pahala serikali, wafanyamaamuzi ktk levwl ya wizara embu tazqmeni hii kero na muitatue.. kama nikuongeAa mabasi then mfanye kwa uharaka.

Kama ni kuusitisha huu usafiri basi mrejeshe daladala zileza zaman
Serikali inajua
Viongozi wanajua
Rais anajua

Lakini hiyo kero siyo kipaumbele chao. Wakiona kelele zinazidi ndo watajitokeza kutoa majibu badala ya kuboresha utendaji wa usafiri huo
 
Ukimya wa serikali wa kutatua changamoto ya huu usafiri binafsi unanipa wasiwasi huenda serikali haifahamu izi shida ambazo wananchi wanao tumia usafir huu tunakutana nao.

Jana Jumatatu pale Gerezani nilitumia masaa 3 na dakika nyingi kusubiri usafiri, imagine nimefika pale saa 10 jioni nakuja kupata usafir saa 1 na nusu usiku, yaan watu walikuwa wengi kupindukia mistari ya foleni ilikuwa ni miwili miwili ambayo imesheheni watu wanasubiri mabasi wasafiri nayo, wale sijui ni askari wa vile vituo na wao wana jiona wana mamlaka ya pekeesana juu ya sheria za nchi, yaan unakuta askari ana mtishia kumpiga abiria imagine.

Ifike pahala serikali, wafanyamaamuzi ktk levwl ya wizara embu tazqmeni hii kero na muitatue.. kama nikuongeAa mabasi then mfanye kwa uharaka.

Kama ni kuusitisha huu usafiri basi mrejeshe daladala zileza zaman
Mpaka wafe watu ndiyo serikali itastuka kuwa mwendokasi kumeoza.
 
Back
Top Bottom