Hivi ni kweli sex ndo kipimo cha upendo wa dhati?

Hivi ni kweli sex ndo kipimo cha upendo wa dhati?

Makeya Mranzi

Member
Joined
Aug 15, 2020
Posts
93
Reaction score
122
Katika kizazi hiki cha sayansi na teknolojia kumekuwa na wimbi la wanaume wengi kuona ngono Kama ndio kipimo cha mapenzi ya dhati, imefikia kipindi mwanaume unakutana nae leo alafu kesho anakuambia msex .

Bila kufikiria Kama uyu mtu ni mzima, Jambo Hili linapelekea kuumiza baadhi ya wasichana wengi wasasa na baadhi yao kujikuta hawadumu kwenye mahusiano. Hivyo naombeni kujibiwa" hivi ngono ndio kipimo cha upendo wa dhati"
 
Sex sio kipimo cha upendo, jaribu kuwaauliza waliopo kwenye ndoa

Sex ilipewa thamani hapo nyuma na mpaka ikaitwa tendo la ndoa Ivo

Kwenye upendo asilimia kubwa sex lazima iwepo kama kipimo moja wapo cha upendo

Overall kumvulia chupi mtu yoyote sio kazi ndogo
Ni kweli maana mpaka mtu anaolewa baadhi huwa na uwezo wa kujaza tipa
 
Back
Top Bottom