Kimsingi Sex sio kipimo cha upendo ILA sex ni sehemu inayo waunganisha wapendanao
Vijana sana sana hawa early 20s ndio huifanya ionekana kukosa dhamani
Angalizo: Mtu kuoa au Kuolewa haimaanishi ndio atapata sex bila kipimo labda aliye bahatika;
Kumbuka kuna watu (wanaume na wanawake) wa aina tatu
1. Wanaopenda sana sex (hormone zao zipo juu)
2. Wanaopenda sex kawaida (mara mbili au tatu kwa wiki)
3. wasio penda sex (hufanya kwa kutimiza wajibu) hormone zao zipo chini
Mf: namba 1 na namba 3 ni ngumu kuishi kwenye Ndoa labda mmoja awe na mtu wa nje
Ukiona mtu anatembea nje (Mke au Mume) wakati mwingine sio kwa kupenda....