Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😃 Si wanawake wote wapo hvyJiulize pia hela ni kipimo cha upendo? Maana mnakutana tu mizinga inaanza.
Csemei ndoa nasemea uhusiano wa kimapenziIn my Opinions sex is a basic need especially kwa wanaume. We need it as much as tunavyohitaji mambo mengine tu kama kula, kuvaa, kulala na hela.
Kwa kuwa sex ni hitaji la lazima kwa binadamu esp. kwa mwanaume aliekamilika na mwenye afya na sex ili ikamilike ni lazima awepo mwanamke wa kufanya nae.
Hapo mwanzo kulitazama hilo kwa busara na hekima ya kibinadamu ikiwa ana reasoning kuliko wanyama, ndio ikafanyika urasmi wa tendo hilo uwepo katika muunganiko wa mwanamke na mwanaume ndipo concept ya ndoa ikaletwa. Na uzuri sex inaendana na uzazi yani reproduction kwahio kwa kuzingatia ustaarabu zaidi ikapendekezwa ni vyema mwanaume azae na mwanamke ambaye ataambatana nae katika ndoa ili kujenga kingdom yake.
Flash forward katika kizazi hiki cha utandawazi uhitaji wa sex umekuwa dhahiri kabisa kwa jinsia zote mbili. Ila kwa kuwa mihemuko iko juu zaidi kwa wanaume wao hupata shida zaidi.
CONNECTION YA MAPENZ NA SEX.
Ili kupata sex sahizi ni lazima utengeneze mazingira ya ulaghai ama lah utumie ushawishi wa kifedha.
Hili linafanyika kwa ME kumshawishi KE kwa maneno mazuri kuwa anampenda. Ikiwa mwanamke atavutiwa nae basi wataelewana na kinachofuata ni kufanya ngono. Hapo neno kupenda linatumika kama kiwakilishi tu cha uhitaji wa ngono so sio kila anayesema anakupenda ni kuwa ana hisia na wewe. Isitoshe ni un-usual kumwambia mwanamke nataka tukafanye ngono, atakutukana au kukuona mtu wa ajabu unless wale wanaojiuza.
Basically, Both Men and women huwa tunasukumwa na tamaa ya kukutana kimwili mara nyingi kutokana na physical attractive attributes alizonazo mtu au behaviours za mtu husika.
Sex sio kipimo ila ni mlango wa kufungua ukurasa wa mapenzi baina ya wawili. Pia sex kama basic need inahitajika on a constant supply kila mtu akipata kiu.
Ikitokea sex imekuwa limited basi ni rahisi sana kwa mwenza mmoja ku sneak around kutafta suluhu nje. Ama uhusiano ama ndoa kuvunjika kabisa.
Miezi mitatu mingi sana sema hata wiki 2Mapenzi bila sex sasa hapo si urafiki tu we unahisi mke wako akikunyima tendo la ndoa miezi mitatu utavumilia huwezi kumsaliti?
We umeomba uchumba humu halafu mara unakuja na maswali ya aina hii.wameshakuomba sex tayari?Katika kizazi hiki cha sayansi na teknolojia kumekuwa na wimbi la wanaume wengi kuona ngono Kama ndio kipimo cha mapenzi ya dhati, imefikia kipindi mwanaume unakutana nae leo alafu kesho anakuambia msex .
Bila kufikiria Kama uyu mtu ni mzima, Jambo Hili linapelekea kuumiza baadhi ya wasichana wengi wasasa na baadhi yao kujikuta hawadumu kwenye mahusiano. Hivyo naombeni kujibiwa" hivi ngono ndio kipimo cha upendo wa dhati"
Trako dogo? Sijawahi kusikia Mbantu anapenda trako dogoWanaume tumeumbiwa tamaa, kila sura tunatamani, kuoa sio solution ya matatizo, leo utamani mnene, kesho mwembamba, matiti makubwa Mara madogo, tako kubwa Mara dogo, hips kubwa na hasie hips
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika kizazi hiki cha sayansi na teknolojia kumekuwa na wimbi la wanaume wengi kuona ngono Kama ndio kipimo cha mapenzi ya dhati, imefikia kipindi mwanaume unakutana nae leo alafu kesho anakuambia msex .
Bila kufikiria Kama uyu mtu ni mzima, Jambo Hili linapelekea kuumiza baadhi ya wasichana wengi wasasa na baadhi yao kujikuta hawadumu kwenye mahusiano. Hivyo naombeni kujibiwa" hivi ngono ndio kipimo cha upendo wa dhati"
Kwahyo unaweza ukampa mtu mbunye hata kama humpendi?Sex ni kama chumvi Kwenye mboga.
Kuhusu kipimo cha upendo sidhani
[emoji817] trueIn my Opinions sex is a basic need especially kwa wanaume. We need it as much as tunavyohitaji mambo mengine tu kama kula, kuvaa, kulala na hela.
Kwa kuwa sex ni hitaji la lazima kwa binadamu esp. kwa mwanaume aliekamilika na mwenye afya na sex ili ikamilike ni lazima awepo mwanamke wa kufanya nae.
Hapo mwanzo kulitazama hilo kwa busara na hekima ya kibinadamu ikiwa ana reasoning kuliko wanyama, ndio ikafanyika urasmi wa tendo hilo uwepo katika muunganiko wa mwanamke na mwanaume ndipo concept ya ndoa ikaletwa. Na uzuri sex inaendana na uzazi yani reproduction kwahio kwa kuzingatia ustaarabu zaidi ikapendekezwa ni vyema mwanaume azae na mwanamke ambaye ataambatana nae katika ndoa ili kujenga kingdom yake.
Flash forward katika kizazi hiki cha utandawazi uhitaji wa sex umekuwa dhahiri kabisa kwa jinsia zote mbili. Ila kwa kuwa mihemuko iko juu zaidi kwa wanaume wao hupata shida zaidi.
CONNECTION YA MAPENZ NA SEX.
Ili kupata sex sahizi ni lazima utengeneze mazingira ya ulaghai ama lah utumie ushawishi wa kifedha.
Hili linafanyika kwa ME kumshawishi KE kwa maneno mazuri kuwa anampenda. Ikiwa mwanamke atavutiwa nae basi wataelewana na kinachofuata ni kufanya ngono. Hapo neno kupenda linatumika kama kiwakilishi tu cha uhitaji wa ngono so sio kila anayesema anakupenda ni kuwa ana hisia na wewe. Isitoshe ni un-usual kumwambia mwanamke nataka tukafanye ngono, atakutukana au kukuona mtu wa ajabu unless wale wanaojiuza.
Basically, Both Men and women huwa tunasukumwa na tamaa ya kukutana kimwili mara nyingi kutokana na physical attractive attributes alizonazo mtu au behaviours za mtu husika.
Sex sio kipimo ila ni mlango wa kufungua ukurasa wa mapenzi baina ya wawili. Pia sex kama basic need inahitajika on a constant supply kila mtu akipata kiu.
Ikitokea sex imekuwa limited basi ni rahisi sana kwa mwenza mmoja ku sneak around kutafta suluhu nje. Ama uhusiano ama ndoa kuvunjika kabisa.
We kweli kichwa chako kina shida Sana yan huelewCsemei ndoa nasemea uhusiano wa kimapenzi
Bora umenisaidia maana nilikuwa nawaza hata naanzaje kum qoute huyu jamaa...Kigumu ni kipi kueleweka.We kweli kichwa chako kina shida Sana yan huelew