HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,563
- 48,223
Ndio maana yake.Sex ilipewa thamani hapo nyuma na mpaka ikaitwa tendo la ndoa Ivo
Kwenye upendo asilimia kubwa sex lazima iwepo kama kipimo moja wapo cha upendo
Overall kumvulia chupi mtu yoyote sio kazi ndogo
Na ndio maana watu wakinyimwa haki yao wanalalamika "Mke wangu hataki kunipa unyumba siku hizi"