Makeya Mranzi
Member
- Aug 15, 2020
- 93
- 122
Asante, but why usioe ndo upate Pa kupunguzia mzuka🤔Kipimo gani cha upendo?
Sex si kipimo Cha upendo Ila tunahitaji ili kupunguza mzuka Yani.
Tena ilitakiwa tuwe Kama kuku haina haja ya kutongozana nikuomba mzigo tu moja kwa moja bila kuzunguka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume tumeumbiwa tamaa, kila sura tunatamani, kuoa sio solution ya matatizo, leo utamani mnene, kesho mwembamba, matiti makubwa Mara madogo, tako kubwa Mara dogo, hips kubwa na asie hipsAsante, but why usioe ndo upate Pa kupunguzia mzuka[emoji848]
🤔Wanaume tumeumbiwa tamaa, kila sura tunatamani, kuoa sio solution ya matatizo, leo utamani mnene, kesho mwembamba, matiti makubwa Mara madogo, tako kubwa Mara dogo, hips kubwa na hasie hips
Sent using Jamii Forums mobile app
Sex sio kipimo cha upendo, jaribu kuwaauliza waliopo kwenye ndoa
Ni kweli maana mpaka mtu anaolewa baadhi huwa na uwezo wa kujaza tipaSex ilipewa thamani hapo nyuma na mpaka ikaitwa tendo la ndoa Ivo
Kwenye upendo asilimia kubwa sex lazima iwepo kama kipimo moja wapo cha upendo
Overall kumvulia chupi mtu yoyote sio kazi ndogo
Kweli Mungu atuokoeKwa vijana wa siku hizi SEX na HELA kwao wanachukulia ndio vipimo vya upendo.
But y upendo ufe ikiwa mtu hujamuoaSEX sio kipimo cha upendo ila SEX inaweza kufanya upendo udumu au UFE.
Sasa tunadate ili tutizamane?? Ni kunyanduana tu
Na akakuona muhuni na sio wife materialWanaume huwadanganya wadada in the name of love....na sex itawaunganisha bla bla kibao..
Sex Sio kipimo Cha upendo.. TENA UNAWEZA ukafanya Hilo tendo ndo usimuone tena
Sex
Sex ni kipimo cha upendo
Hivi hukuwahi kuachwa na mtu uliesex nae, na uyu uliye nae Sasa ndio pekee uliesex nae na km hapana kwnn wakati sex ni kipimo cha upendo wa dhati
Ushasema mke ni wajibu wake ule lakini kuna tofauti ya mke na mpenziMapenzi bila sex sasa hapo si urafiki tu we unahisi mke wako akikunyima tendo la ndoa miezi mitatu utavumilia huwezi kumsaliti?