Unaweza ukaoa na ukawa unanyimwa vile vile, suluhiso siyo ndoa...ukiamua kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi ujue ndio umeamua kushiriki ngono, suala la haraka/mapema sana halina mantikiAsante, but why usioe ndo upate Pa kupunguzia mzuka🤔
Sidhani Kama anazungumzia NDOA.Mapenzi bila sex sasa hapo si urafiki tu we unahisi mke wako akikunyima tendo la ndoa miezi mitatu utavumilia huwezi kumsaliti?
Uoe af unyimwe mapenzi bila sababu na wewe una nyamaza tuunaweza ukaoa na ukawa unanyimwa vile vile, suluhiso siyo ndoa...ukiamua kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi ujue ndio umeamua kushiriki ngono, suala la haraka/mapema sana halina mantiki
Kivipi?Inategemea.
umeona sasa eeh?unaoa, unanyimwa mapenzi kwa sababu za hovyo kabisa na unanyamaza kimya...unaamua kwenda kutafuta mchepuko nje, sasa mtu aje nje (kwa aliyeoa)afu uanze kumsubirisha tena hiyo si biashara kichaaUoe af unyimwe mapenzi bila sababu na ww una nyamaza tu
Mleta hoja unayumba sana asee!Uoe af unyimwe mapenzi bila sababu na ww una nyamaza tu
Kwa lipi?Mleta hoja unayumba sana asee!
Kwa lipi?
Kwa sentensi yako hiyo inaonesha kabisa wewe mwenyewe unaamini sex ni muhimu katika mapenzi ya dhati kwa wanandoa; ama nitakuwa sijakusoma barabara!?Uoe af unyimwe mapenzi bila sababu na ww una nyamaza tu
Uzi wng umezungumzia kwa wapenzi , sio wanandoa kwa wanandoa ni marufuku mtu kukataa sex bila sababu ya msingiKwa sentensi yako hiyo inaonesha kabisa wewe mwenyewe unaamini sex ni muhimu katika mapenzi ya dhati kwa wanandoa; ama nitakuwa sijakusoma barabara!?
Maana hicho ndo mwanamke anachokifata kwa mumeweUzi wng umezungumzia kwa wapenzi , sio wanandoa kwa wanandoa ni marufuku mtu kukataa sex bila sababu ya msingi
Ila Uzi wangu umejikita kwa wapenziKimsingi Sex sio kipimo cha upendo ILA sex ni sehemu inayo waunganisha wapendanao
Vijana sana sana hawa early 20s ndio huifanya ionekana kukosa dhamani
Angalizo: Mtu kuoa au Kuolewa haimaanishi ndio atapata sex bila kipimo labda aliye bahatika;
Kumbuka kuna watu (wanaume na wanawake) wa aina tatu
1. Wanaopenda sana sex (hormone zao zipo juu)
2. Wanaopenda sex kawaida (mara mbili au tatu kwa wiki)
3. wasio penda sex (hufanya kwa kutimiza wajibu) hormone zao zipo chini
Mf: namba 1 na namba 3 ni ngumu kuishi kwenye Ndoa labda mmoja awe na mtu wa nje
Ukiona mtu anatembea nje (Mke au Mume) wakati mwingine sio kwa kupenda....
Uoe af unyimwe mapenzi bila sababu na ww una nyamaza tu
Nmemaansha tendo la ndoaKwani ngono ndio mapenzi?
🤔Kwani mwalimu wenu wa nidhamu alisemaje?
NakaziaSex ni kipimo cha upendo