Hivi ni kweli sex ndo kipimo cha upendo wa dhati?

Mpe mwenzio k*ma at**be acha kumzingua aisee!
Pengine ushamchuna had kakonda na kujikatia tamaa
 
Girlss wengi mna jifanyaga hamsikii utamu wa tendo ..ebooo

Wote wana kuwa na agezi wana kutama kuzipu guza yatakayo fuata i history
 
Ulaghai lazima utumikw Zama hizi ili kupata ngono
 
Mkuu kununuwa nyumba bila kupewa hati ni utapeli..
Jiongeze..
 
Inawezekana kabisa..na hata wewe unaweza fanya na MWANAMKE ambae humpendi wala hukumtamani Bali mazingira tu
Ndio maana nilisema msukumo wa ngono unatokana na kiu ya mwili juu ya hilo tendo. Mfano mtt wa kike kipindi cha joto au ovulation huwa anakuwa na akshi sana kiasi kwamba huwa anaweza sex na dume lolote lililo accessible hata ikiwa hajawahi kuwa na hisia nae za kimapenzi.
 
Nikweli wakato was ovulation ...unakuwa na hamu Sana Sana Sana hata sex inakuwa nzuri Sana ..lakini swala la kufanya na mwanaume yoyote sikweli hata kidogo...yaani nakataa.

Mimi nikiwa kwa ovulation SIWEZI mkuta mkaka barabarani nikamwambia Kaka Nina hamu tukafanye...hayo yanfanywa na wanawake wachache Sana....Sijui Kama huwa wazima.
 
Ila trust me hapa ndio wengi huwa Mnatombw@g@ yani...Unakuta mwanaume uliyemueka kwenye queue mda mrefu akikukomalia ndani ya ovulation days unaenda mpa mzigo freshi tu. What i actually mean, kuna yule mwana ambaye anakuwaga kwenye queue ama pending list. Kashakuimbia sana juu ya hisia zake kwako unamletea pozi.

Ila every dog has its day huwa tukikomaa ile siku upo kwenye ovulation mara tunachombeza uje geto unajikuta umelegeza masharti tu mara paap tumekulana😝
 
Girlss wengi mna jifanyaga hamsikii utamu wa tendo ..ebooo

Wote wana kuwa na agezi wana kutama kuzipu guza yatakayo fuata i history
Extrovert mtalaqm wa kuqngua vicheko umeona bango limewaka hapo

Mtoa uzi ana gqndamiza jinsia moja ati kana kwamba girls hawasikii kale kaladhaa ...
Alafu ilihali wao kufika mliman ndio wanachukua dakika nyingiiiiii yaan girls wana consume a lot of men's energy to make her reach to the climax
 
Anazengua huyo jamaa, mwanamke inasemekana anapata enjoyment kuliko hata msuguaji. Yani concept iko kama unapokuna panapowasha.
 
Sex ilipewa thamani hapo nyuma na mpaka ikaitwa tendo la ndoa Ivo

Kwenye upendo asilimia kubwa sex lazima iwepo kama kipimo moja wapo cha upendo

Overall kumvulia chupi mtu yoyote sio kazi ndogo
Kwa wanaojiheshimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…