Hivi ni kweli suala la Katiba Mpya ni suala la Rais kulikubali au kulikataa?

Kumbe Mdude ni mtu mkubwa kiasi hiki katika hii nchi!Nilikuwa sijui kama Mdude ana uwezo wa kuzuia Watanzania milioni 60 wasipate katiba.
 
Wewe jifunze kiswahili kwanza ujue kwamba hata watu wawili wanaweza kufanya mkutano, halafu ndiyo uje kujadili mengine.

Watanzania wana haki ya kikatiba ya kujua nchi yao inaendeshwa vipi.

Hilo si jambo ninalosema mimi, katiba hii tuliyo nayo sasa ndiyo inasema hivyo.

Sasa huyo Mbowe anayedai katiba mpya wakati hii ya sasa hawezi kuitimiza anajielewa?

Halafu kiongozi kusema kuna maneno ya siri umezungumza ni ujinga.

Kwa sababu ukishasema kuna maneno ya siri, umevunja siri na kuwapa watu maswali kibao kuhusu siri hii ni juu ya nini, wengine wataamini the worst possible case.

Ndiyo maana sasa hivi kuna minong'ono Mbowe kawa compromised.
 
She has the prerogative, just like how your bf could choose to ram your butthole whenever he pleases.
 
Kuna tatizo sehemu kwenye kichwa chako
 
Ni kweli Rais ndiyo mwenye uwezo wa kuamua whether mchakato wa Katiba ufanyike au usifanyike.

Vyama vya siasa na asasi za kijamii zina uwezo wa kuhamasisha tu mapungufu yàliyopo kwenye Katiba ya sasa na kuhimiza mabadiliko.

Wananchi wa Tanzania watakwenda kwa upepo wa Serikali tu ila wao kama wao kipaumbele ni kuboresha uchumi wa mtu mmoja mmoja. Sioni utayari wao wa kuingia mtaani na kudai Katiba mpya
 
Itashindikanaje kuwa rais ilhali 95% ya waliopo serikalini nafasi za juu ni either direct or inderecect hutokana na utashi wa huyo mungu mtu aitwae raid kwa bongo?
 
Niliwaambia
 
Ni kweli kukiwa na katiba mpya vyama vya upinzani vitapata majimbo na ruzuku??
 
Hivi katiba mpya ni hitaji la chadema tu ama ni hitaji la wananchi?.
Naona shida yako wewe ni Chedema as if wananchi tuliipa Chedema jukumu la kuhakikisha katiba napatikana kitu ambacho si kweli.
Naona una shida binafsi na Chedema na sio katiba
Wananchi hawawezi kuhitaji kitu wakakosa.

Acheni kusingizia Wananchi. Tangu lini Wananchi wakawa wanataka Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi.

Juzi tu, wafanyabiashara wa Karume imeungua, waliandamana kudai haki yao.

Unafikiri, ingekuwa kweli Wananchi ndio wanataka Katiba mpya ingekuwa haijapatikana?
 
uwezo huo Rais anautoa wapi?
 
Mfumo gani? Mfumo rasmi au mfumo wa kienyeji?

Uwezo wa Rais kuamua tuwe na katiba mpya unatoka wapi?

Kaka mkubwa, tutakwenda kwa mifano ili tuelewane.
1. JMK ndiye aliyeteua wajumbe wa Tume ya Katiba. Wakamkabidhi rasimu.
2. JMK ndiye aliyechagua wajumbe wa Bunge la Katiba ambayo hawakuwa wabunge!
3. JMK ndiye aliyepaswa kuendesha mchakato wa Katiba Mpya, kama si yeye basi tuambiwe kama ilikuwa ni Bunge au Mahakama. Jambo lolote litaangukia kuwa wajibu wa moja ya mhimili mitatu.
4. JPM nae alisema Katiba Mpya sio kipaumbele.
5. SSH alisema wananchi hawahitaji katiba mpya bali maendeleo na akashauri tufanye maendeleo kwanza.

Iwe ni sahihi au sio sahihi, mfumo rasmi au wa kienyeji - hapa tunazungumzia mwenye wajibu. Ukiwa na Rais anataka jambo fulani - litafanyika. Kama halitaki - halitafanyika!! Uko sahihi kuwa wengi tunatamani kungekuwa na namna watu wengine wanaamua mahitaji lakini ni bahati mbaya - utashi wa Rais tena mwenye mamlaka kubwa na ya juu sana, ndio kiongozi cha mambo mengi, hata kama ni mabaya!!

Katiba haisemi Rais ndio mwamuzi lakini kama yeye ndio mamlaka ya uteuzi basi impliedly yeye pia ni mwamuzi wa anachotaka wateule wafanye!!
 
Hujasikia Mbowe amesema ni siri atakuwa anatoa kidogo kidogo, na amesema katiba mpya sio muhimu kwa sasa.

Nawaonea huruma wale vijana na tisheti zao #katibampya watavalia wapi tisheti zao.
Halafu nyie mbona mnakuwa wepesi sana kuubali upotoshaji? Umemsikia wapi Mbowe anasema katiba mpya sio muhimu kwa sasa?
 
Hujasikia Mbowe amesema ni siri atakuwa anatoa kidogo kidogo, na amesema katiba mpya sio muhimu kwa sasa.

Nawaonea huruma wale vijana na tisheti zao #katibampya watavalia wapi tisheti zao.
Kashapiga mpunga wake safi kabisa😅 wapinzani wa kibongo bongo ni wachumia tumbo! Kashasainishwa Billion 1 yake hapo sahizi mambo safi! Lissu anakula genji lake shughuli imeisha.

Hutamsikia akienda against na raisi mpaka hela ikikata njaa inauma ataanza tena kelele!

Ugomvi wao mkubwa na Magufuli hakutakaga kuwalea lea kishenzi na kuwapa hela ndio maana kelele zilizidi
 
Hao wanasiasa wenyewe wanaodai katiba mpya hawajielewi.

Eti Mbowe, mtu anayedai katiba mpya, anaenda kufanya mkutano na rais, halafu anawaambia watu kuna maneno ya siri wamezungumza.

Halafu watu wanamshangilia!

Huwezi kuwa ni mtu wa kutoa lawama tu bila suluhisho. Unayemlaumu alikuwa mhamasishaji mkuu wa Kongamano la Katiba. Wewe unadhani Mbowe pekee alipaswa kufanya nini? Haya tumwondoea Mbowe, kakosea. Toa ushauri Cheyo, Dovutwa, Mrema, Lipumba, Zito na wengine wafanye nini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…