KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Habari zenu wakuu.
Nimeshuhudia matukio kadhaa, mojawapo likiwa la kaka yangu ambaye alisota muda mrefu bila ya kazi, alisha tuma maombi sehemu mbalimbali lakini wapi.
Ndio rafiki mmoja akamshauri aende kwa mtaalamu(mganga) wakapanga siku wakaenda kwa mtaalamu.
Aliporudi nikamuona kaka mara anajifukiza madawa yenye harufu za ajabu ajabu.
Baada ya siku 5 kupita tangu kaka arudi kwa mganga akaanza kuona mabadiliko, zile sehemu alizokuwa ame apply akashangaa anapigiwa simu sehemu zote alizoomba mpaka mwenyewe akashangaa.
Kichwani nikabaki na alama ya kuuliza kuwa inakuwakuwaje.?