tomjelly
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 560
- 198
Umenisoma vema kadoda11
hata mi nlikusoma. ila naomba kuuliza utofaut wa haya makund ni nini? kwanin wengne ni satanism afu wengne ni luciferism?
pia kwanin wengne ni freemason afu wengine ni illuminat? Mshana jr naomba nfafanulie ivo vtu vinne
Last edited by a moderator: