Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu. Sikuwahi hata kufikiria kujaribu
mshanajr njoo huku ujibu maswal... watu hawajakuelewa bado
Sasa tuongee
Uchawi halisi una mzio na vitu vizuri , una mzio na utajiri labda iwe wa tunguli, una mzio na starehe hasa pombe na warembo na unapokabidhiwa mikoba unapewa hayo masharti, huu hauna tofauti na chumaulete unapata pesa ya kutumia siku hiyo tuu tena kwa vitu muhimu
Uchawi huu ndio uchawi wa tunguli uchawi wa kupiga zongo kule Tanga uchawi uchawi wa kukopea mazao shambani , uchawi wa magonjwa yasiyoeleweka...Kimsimgi ni uchawi wa kifukara na usio na faida yoyote kea mmiliki zaidi ya kuogopwa
Sasa basi wataalam wakaingia maabara na kutafiti wakaja na colabo moja nzuri sana kwamba ukichanganya uchawi wa tunguli mizimu na majini pamoja na ibada na viapo vya damu , hiyo colabo hufuta na kufisha ule mzio wa kupenda vitu vizuri na hapo ndio mambo huanza kuwa super

Anza wewe mkuu mi utakuja kunipa ripoti tu kama ni kweli, mi bado mdogo sana kushuhudia mambo ya kutisha.
ukimuogopa Mungu au shetani huwez kumjua wala kumfaham... .. . ni sawa na kwenda kwenye mashindano bila ya kujua nguvu/uwezo wa mpinzan wako.
Sijui kama ni uoga au la. Ila sipendi kuona mambo ya kutisha kwa namna yoyote ile
Umejuaje km yanatisha...?
KATA KUCHA mimi si mchawi na Sijawahi kuroga wala kurogwa, nikiandika Kitabu itakuwa vigumu kwa watu wenye maswali chagizo na maoni kushindwa kujibiwa ipasavyo, lakini nikitoa kidogo kidogo hapa tunaelimishana tunafafanuliana tunapeana changamoto na kuna wakati napata matusi kidogo kejeli kidogo lakini mwisho wa siku mtu anakuelewamshana jr, nimekuwa nikizisoma mada zako nyingi tu kuhusu uchawi. Aidha, unakuwa wazi kabisa kusema yeyote anayetaka kuwa mchawi unaweza kumfundisha.
Sasa huwa naniuliza; haya yote unayoyazungumza humu umeyajulia wapi!?
Wewe ni mchawi!!!??
Hebu basi andika kitabu kinachohusu mambo hayo ili jamii ifahamu mambo mengi yaliyonificha lakini yapo yanatendeka.
teh teeh teeeh eeeh... .. . umenifurahisha hapo kwenye wataalam kuingia maabara nakuja na mpango kabambeee...
okey ngoja urud tutajua ukweli
Sijui kama ni uoga au la. Ila sipendi kuona mambo ya kutisha kwa namna yoyote ile
Mdada Astral projection haitishi?mbona kama uliperfom out of body?.Anyway ili kujua mambo inabidi ujifunze na muda mwingine katika kujifunza kimatendo inabidi to take risk,nasubiri kuhadithiwa.
Sijui kama ni uoga au la. Ila sipendi kuona mambo ya kutisha kwa namna yoyote ile
mimi natafuta mtu alieenda kwa mganga akafanikiwa
ajitaje