Hivi ni kweli uchawi una affect maisha ya mtu

Hivi ni kweli uchawi una affect maisha ya mtu

_Duuu? na hapa DSM unaweza ukaina mtu anaendesha vogue,hammer,v8 n.k kumbe ni fisiii?ii aiseee...
ila bro mshanajr mi mwenyewe nataka kuviona sio daily nasimuliwa tuuu...

If you real serious nitakufundisha but with conditions next week narudi mkata will consult you and anyone who is interested in weird things
 
Last edited by a moderator:
Mimi huwa najiuliza kwa nini wachawi hawana maendeleo kila nitakayemsikia au kuambiwa mchawi ni mtu masikini au wa hovyhovyo tu,
au ndio masharti ya uchawi?
 
Mimi huwa najiuliza kwa nini wachawi hawana maendeleo kila nitakayemsikia au kuambiwa mchawi ni mtu masikini au wa hovyhovyo tu,
au ndio masharti ya uchawi?

Wapo tena wengi tu lakini lazima ufanye colabo ndio utafanikiwa yani uwe nabii au mtume nk na lazima utii maagano na viapo vya kuzimu na kukubali kutoa sadaka za damu na nyama mbichi
 
Wapo tena wengi tu lakini lazima ufanye colabo ndio utafanikiwa yani uwe nabii au mtume nk na lazima utii maagano na viapo vya kuzimu na kukubali kutoa sadaka za damu na nyama mbichi

hapo kwenye kufanya collabo bado sijaelewa vizur?i
 
Nilikuwa najiuliza utasema nini kuhusu hili pamoja na aretasludovick Bennie afadhali mmekuwa wapole kidogo. ila binafsi naamini mara nyingi imani ya mtu ndo humfanya apotee au aelekee kwenye njia sahihi ya mafanikio.

Nahisi hata maswala haya pia yanafanyika zaidi kwa wanaoamini.
Lol kwahiyo ulikua unasubiri ujio tu ....
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa najiuliza utasema nini kuhusu hili pamoja na aretasludovick Bennie afadhali mmekuwa wapole kidogo. ila binafsi naamini mara nyingi imani ya mtu ndo humfanya apotee au aelekee kwenye njia sahihi ya mafanikio.

muxar mi kitu huwa mpaka nikione na kuhakikisha ndio hapo nitaamin, ndio maana ninataka mshanajr anioneshe/kunithibitishia hivi vitu ili niamin ila sio kwa kusikia tuuu.... na hapo nitakavyoona nitarud tena kuwathibitishia .
 
Last edited by a moderator:
Ukiwa pure mchawi utakufa maskini lakini ukichanganya na mambo f'lani utatoka

teh teeh teeeh bro mshanajr mbona hufunguki ? hapo kwenye kuchanganya na mambo flani sijaelewa mambo gan hayo.
 
Last edited by a moderator:
muxar mi kitu huwa mpaka nikione na kuhakikisha ndio hapo nitaamin, ndio maana ninataka mshanajr anioneshe/kunithibitishia hivi vitu ili niamin ila sio kwa kusikia tuuu.... na hapo nitakavyoona nitarud tena kuwathibitishia .

Mimi pia ndio kitu nasubiria
 
Last edited by a moderator:
Yani uchawi unakuwa kama kitu cha siri

Ndgu mshanajr.Kuna Kitu Unakificha Ficha Hebu Funguka Kabisa Had Mwsho, Swal Langu Kwako. Hzo Siri Zitahusiana Na Kula Nyama Ama Ktoa Sadaka Za Damu Ya Bnadamu,
 
Last edited by a moderator:
mshanajr njoo huku ujibu maswal... watu hawajakuelewa bado
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
mi nataka niwaone wachawi na majini live nifate steps zipi

Kuhusu majini NDUKI ana uzi kaelezea ila sijaona mrejesho sa sijui hakuna alietest. Tafuta huo uzi ukifanikiwa uje ushuhudie nasi tupate faida
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom