KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Habari zenu wakuu......nimeshuhudia matukio kadhaa..mojawapo likiwa la kaka yangu ambaye alisota muda mrefu bila ya kazi, alisha tuma maombi sehemu mbalimbali lakini wapi..ndio rafiki mmoja akamshauri aende kwa mtaalamu(mganga)..wakapanga siku wakaenda kwa mtaalamu...aliporudi nikamuona kaka mara anajifukiza madawa yenye harufu za ajabu ajabu. Baada ya siku 5 kupita tangu kaka arudi kwa mganga akaanza kuona mabadiliko...zile sehemu alizokuwa ame apply akashangaa anapigiwa simu sehemu zote alizoomba mpaka mwenyewe akashangaa..kichwani nikabaki na alama ya kuuliza kuwa inakuwakuwaje..?

hivi uchawi maana yake ni nini? na je unahukakika na zile dawa kuwa ndio zimemfanya abadilike?
Cc: aretasludovick
Jimena
Aisee mimi bado ni mwanafunzi kwenye haya mambo
Dunia ni pana hautaweza ukajifunza vilivyomo ndani yake mpaka upitie,muombe mwenyezi Mungu akujaalie uhai Nina imani utajifunza juu ya ulichokiuliza na majibu utayaleta humuhumu jf.
Aisee mimi bado ni mwanafunzi kwenye haya mambo
mi nataka niwaone wachawi na majini live nifate steps zipi
Sio sasahivi
Habari zenu wakuu......nimeshuhudia matukio kadhaa..mojawapo likiwa la kaka yangu ambaye alisota muda mrefu bila ya kazi, alisha tuma maombi sehemu mbalimbali lakini wapi..ndio rafiki mmoja akamshauri aende kwa mtaalamu(mganga)..wakapanga siku wakaenda kwa mtaalamu...aliporudi nikamuona kaka mara anajifukiza madawa yenye harufu za ajabu ajabu. Baada ya siku 5 kupita tangu kaka arudi kwa mganga akaanza kuona mabadiliko...zile sehemu alizokuwa ame apply akashangaa anapigiwa simu sehemu zote alizoomba mpaka mwenyewe akashangaa..kichwani nikabaki na alama ya kuuliza kuwa inakuwakuwaje..?
ni kweli inabid ajifunze na mwalim ndio wewe, inabidi utoe somo sasa
Inawezekana kabisa lakini hutakuwa wewe tena
nitakuwaje mkuu
Utaona na vingine ambavyo hukupanga au hutaki kuviona, utaingia sehemu ya chakula utakuta mwiko wa kupakulia chakula ni kiganja cha binadamu, utaona barabarani badala ya watu kupanda daladala wamepanda fisi nk nk unaweza kujikuta unakimbia