Hivi ni kweli uchawi una affect maisha ya mtu

Nilikua nataka mume nimempata yena mwenye pesa nimemtuliza kwa ayo madawa ya uchawi anafuata kile ninachokisema tumeelewana apo???

ngoja nmuite aje aone ushuhuda.... teh teeh teeeh eeeh....
ila angalia usije kumgeuza zombi.
 
mshana,
bila shaka maneno uliyohitimisha hapo chini ni huu uchawi unaoitwa freemasonry/illuminatism ambao hutumiwa na wazungu na wafrika wachache wenye nguvu ya pesa na ushawishi ktk jamii.au sio huo mkuu?.
 
Hiyo dozi ninahis doctor alipaka kwenye dushele lake akakusukumia kwenye pampuch yako, ndyo maana unamburuza jamaa yako bisha...
 
mshana,
bila shaka maneno uliyohitimisha hapo chini ni huu uchawi unaoitwa freemasonry/illuminatism ambao hutumiwa na wazungu na wafrika wachache wenye nguvu ya pesa na ushawishi ktk jamii.au sio huo mkuu?.

Umenisoma vema kadoda11
 
Last edited by a moderator:
mshana,
bila shaka maneno uliyohitimisha hapo chini ni huu uchawi unaoitwa freemasonry/illuminatism ambao hutumiwa na wazungu na wafrika wachache wenye nguvu ya pesa na ushawishi ktk jamii.au sio huo mkuu?.

nikweli uyosema maana unavyozidi kukufuru basi black majic inaongezeka nguvu zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…