Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 983
- 2,306
Kupo kustaafu, kufilisika au kufa.Unauwezo wa kusomesha private mkopo unataka wa nini...
Ndio hawapewi..
Mama anatoa mkopoKupo kustaafu, kufilisika au kufa.
Duh kumbe nimefanya uamuzi wa maana sana kuwatoa watoto wangu kayumba ya kiingereza ( English medium) kuwaleta kayumba ya kiswahiliUnauwezo wa kusomesha private mkopo unataka wa nini...
Ndio hawapewi..
Duh kumbe nimefanya uamuzi wa maana sana kuwatoa watoto wangu kayumba ya kiingetez( English medium) kuwaleta kayumba ya kiswahiliUnauwezo wa kusomesha private mkopo unataka wa nini...
Ndio hawapewi..
YesNafikiria mtoto asome akisoma English medium primary halafu sekondary akapata shule nzuri za serikali inaleta maana.
Kinacho matter ni kozi gani unasomea. Huwezi somea kozi yenye priority kwa serikali ukose mkopo kisa umesoma private.Kwamba ukisomesha mtoto shule za private kuanzia primary ( English medium) hadi secondary ( both O level and A level) then chuo kikuu mtoto...
Shukuru mungu ulikosa.Sijawahi kuelewa wanaangalia nini kuhusu kutoa mikopo
Binafsi nilinyimwa lakini yupo mtu aliyekuwa kama mimi alipata
Hapewi ndioKwamba ukisomesha mtoto shule za private kuanzia primary ( English medium) hadi secondary ( both O level and A level) then chuo kikuu mtoto...
Labda unatokea familia yenye uwezoSijawahi kuelewa wanaangalia nini kuhusu kutoa mikopo
Binafsi nilinyimwa lakini yupo mtu aliyekuwa kama mimi alipata
Unauwezo wa kusomesha private mkopo unataka wa nini...
Ndio hawapewi.
Hivi hujui mtoto anaweza kufiwa na wazazi wote na akabaki hana uwezo?
Na kozi za priority kwa serikali ndiyo zipi?Kinacho matter ni kozi gani unasomea. Huwezi somea kozi yenye priority kwa serikali ukose mkopo kisa umesoma private.
Unaleta habari za umasikini hapa usomeshe mtoto tangu kindagati mpaka sekondali alafu uanze kupiga foleni kuomba mkopo hili aende elimu ya juu ndio kusema huko chini ulimsomesha kwa kuungaunga kuiga masikini mbavitukoKwamba ukisomesha mtoto shule za private kuanzia primary ( English medium) hadi secondary ( both O level and A level) then chuo kikuu mtoto Hapewi mkopo kwa maana serikali ita assume kwamba mzazi una uwezo wa kumudu gharama za kumlipia mwanao chuo kwa sababu ada za chuo mfano ( udsm ni kuanzia laki saba hadi milioni na nusu)
Na kama atasoma private ktk moja Wapo kati ya stage hizo yani mfano ( primary - private) secondary ( kayumba ) high school ( private) atapewa mkopo wa asilimia C au D.
Wakuu kuna ukweli wowote katika hilo?
Wajuvi wa mambo njooni mfunguke please.