Hivi ni kweli ukisomesha mtoto private kuanzia primary hadi secondary, chuo kikuu hapewi mkopo?

Duh kumbe nimefanya uamuzi wa maana sana kuwatoa watoto wangu kayumba ya kiingereza ( English medium) kuwaleta kayumba ya kiswahili
Kilicho kufanya uwatoe sio mapenzi yako bali ni ukata kutaka kusimama juu ya situli hili uonekane mrefu kumbe mfupi
 
Pole kiongozi na hongera Kwa Uzi wako kwanza mkopo ni bahati ya mtu unaweza ukatimiza vigezo vyote na usipate mkopo

Naomba nirudi kwenye HOJA Yako kwanza

Mimi ni shuhuda pre and primary nilisoma abbey ni private,olevel nikasoma FPCT RUO SEC, ADVANCE nikasoma AMANAH ISLAMIC nikaomba mkopo mwaka 2017 nikapata asilimia 100

Nimetaja hadi shule ili kuepusha maswali ya shule nilizosoma
Nawasilisha
 
Ni kweli hawapewi, Kuna ndugu yangu yeye alisoma Private o-level hajapewa mkopo, Ila jaribuni kuomba Kuna wengine naona wanapata na wamesoma private sijui loansboard wanaangalia nini,fanya Kama kubet.
Aisee duh
 
Kwamba ukisomesha mtoto shule za private kuanzia primary ( English medium) hadi secondary ( both O level and A level) then chuo kikuu mtoto Hapewi mkopo kwa maana serikali ita assume kwamba mzazi una uwezo wa kumudu gharama za kumlipia mwanao chuo kwa sababu ada za chuo mfano ( udsm ni kuanzia laki saba hadi milioni na nusu)

Na kama atasoma private ktk moja Wapo kati ya stage hizo yani mfano ( primary - private) secondary ( kayumba ) high school ( private) atapewa mkopo wa asilimia C au D.

Wakuu kuna ukweli wowote katika hilo?

Wajuvi wa mambo njooni mfunguke please.
Mkopo wenyewe TSH ngapi?
 
Kwenye kutoa mkopo wanaangalia vitu vingi kama vile:
1. Shule ulizosoma
2. Kazi za wazazi/walezi wako
3. Uwepo wa wazazi/utatima
4. Ufaulu wa mwanafunzi
5. Umuhimu wa kozi anayotarajia kusoma
6. Gharama za kozi anayotarajia kusoma. n.k

Cha mwisho ni utashi wa afisa mikopo anyeshughulikia onbi lako huko Loan Board.

Pamoja na yote, watanzania wengi wanadhani lazima kila mtoto anayejiandaa kwenda chuo aombe mkopo.
Kama unaweza, mlipie mwanao ada tu. Ile 15% inaboa sana huku kazini.
 
Asante kwa taarifa mkuu
 
Kwamba ukisomesha mtoto shule za private kuanzia primary ( English medium) hadi secondary ( both O level and A level) then chuo kikuu mtoto Hapewi mkopo kwa maana serikali ita assume kwamba mzazi una uwezo wa kumudu gharama za kumlipia mwanao chuo kwa sababu ada za chuo mfano ( udsm ni kuanzia laki saba hadi milioni na nusu)

Na kama atasoma private ktk moja Wapo kati ya stage hizo yani mfano ( primary - private) secondary ( kayumba ) high school ( private) atapewa mkopo wa asilimia C au D.

Wakuu kuna ukweli wowote katika hilo?

Wajuvi wa mambo njooni mfunguke please.
Broda peleka mtoto shule yenye vigezo vyote vye elimu bora. Utakuwa mjinga kuacha kumpa mtoto elimu bora kisa mkopo wa chuo kikuu.
 
Kwamba ukisomesha mtoto shule za private kuanzia primary ( English medium) hadi secondary ( both O level and A level) then chuo kikuu mtoto Hapewi mkopo kwa maana serikali ita assume kwamba mzazi una uwezo wa kumudu gharama za kumlipia mwanao chuo kwa sababu ada za chuo mfano ( udsm ni kuanzia laki saba hadi milioni na nusu)

Na kama atasoma private ktk moja Wapo kati ya stage hizo yani mfano ( primary - private) secondary ( kayumba ) high school ( private) atapewa mkopo wa asilimia C au D.

Wakuu kuna ukweli wowote katika hilo?

Wajuvi wa mambo njooni mfunguke please.
Umewezaje kusomesha mtoto miaka zaidi ya 13 kwa mamilioni ya pesa ushindwe kumsomesha kwa miaka mitatu/minne kwa ada zisizozidi milioni 2 ,milioni 2?
 
Kwamba ukisomesha mtoto shule za private kuanzia primary ( English medium) hadi secondary ( both O level and A level) then chuo kikuu mtoto Hapewi mkopo kwa maana serikali ita assume kwamba mzazi una uwezo wa kumudu gharama za kumlipia mwanao chuo kwa sababu ada za chuo mfano ( udsm ni kuanzia laki saba hadi milioni na nusu)

Na kama atasoma private ktk moja Wapo kati ya stage hizo yani mfano ( primary - private) secondary ( kayumba ) high school ( private) atapewa mkopo wa asilimia C au D.

Wakuu kuna ukweli wowote katika hilo?

Wajuvi wa mambo njooni mfunguke please.
Hii nchi imejaa wajinga sana.
 
Duh kumbe nimefanya uamuzi wa maana sana kuwatoa watoto wangu kayumba ya kiingereza ( English medium) kuwaleta kayumba ya kiswahili
Hiyo sio namna ya kujitetea kuwanyima watoto haki ya kupata elimu nzuri. Kwani mkopo una manufaa gani? Kama ada ya primary au secondary unaweza kulipia mpaka milioni 2 utashindwaje kumlipia chuo milioni 2 au 1.7?.

Pia kama uko vizuri, ukimsomesha bila mkopo unakuwa umemsaidia atakapoanza kazi anakuwa hadaiwi na mtu kasoro mzazi tu. Kwa hiyo atakuwa anapata mshahara wote bila makato
 
Neno pia
 
Back
Top Bottom