Wabongo wengi wanaishi kwa kuiga uwezo huna yanini kuiba na kunyanganya hili kusomesha mtoto muwache asome kayumba kama hipo hipo tuUnauwezo wa kusomesha private mkopo unataka wa nini...
Ndio hawapewi..
Kilicho kufanya uwatoe sio mapenzi yako bali ni ukata kutaka kusimama juu ya situli hili uonekane mrefu kumbe mfupiDuh kumbe nimefanya uamuzi wa maana sana kuwatoa watoto wangu kayumba ya kiingereza ( English medium) kuwaleta kayumba ya kiswahili
Aisee duhNi kweli hawapewi, Kuna ndugu yangu yeye alisoma Private o-level hajapewa mkopo, Ila jaribuni kuomba Kuna wengine naona wanapata na wamesoma private sijui loansboard wanaangalia nini,fanya Kama kubet.
PoleSijawahi kuelewa wanaangalia nini kuhusu kutoa mikopo.
Binafsi nilinyimwa lakini yupo mtu aliyekuwa kama mimi alipata
Mkopo wenyewe TSH ngapi?Kwamba ukisomesha mtoto shule za private kuanzia primary ( English medium) hadi secondary ( both O level and A level) then chuo kikuu mtoto Hapewi mkopo kwa maana serikali ita assume kwamba mzazi una uwezo wa kumudu gharama za kumlipia mwanao chuo kwa sababu ada za chuo mfano ( udsm ni kuanzia laki saba hadi milioni na nusu)
Na kama atasoma private ktk moja Wapo kati ya stage hizo yani mfano ( primary - private) secondary ( kayumba ) high school ( private) atapewa mkopo wa asilimia C au D.
Wakuu kuna ukweli wowote katika hilo?
Wajuvi wa mambo njooni mfunguke please.
Je wataweza kufaulu na kupata credit huko Kayumba?Duh kumbe nimefanya uamuzi wa maana sana kuwatoa watoto wangu kayumba ya kiingereza ( English medium) kuwaleta kayumba ya kiswahili
Bila wasiwasiJe wataweza kufaulu na kupata credit huko Kayumba?
Sio kweli mkuuNgumu sana
Wanaofaulu ni watoto waliosoma Marian
Asante kwa taarifa mkuuKwenye kutoa mkopo wanaangalia vitu vingi kama vile:
1. Shule ulizosoma
2. Kazi za wazazi/walezi wako
3. Uwepo wa wazazi/utatima
4. Ufaulu wa mwanafunzi
5. Umuhimu wa kozi anayotarajia kusoma
6. Gharama za kozi anayotarajia kusoma. n.k
Cha mwisho ni utashi wa afisa mikopo anyeshughulikia onbi lako huko Loan Board.
Pamoja na yote, watanzania wengi wanadhani lazima kila mtoto anayejiandaa kwenda chuo aombe mkopo.
Kama unaweza, mlipie mwanao ada tu. Ile 15% inaboa sana huku kazini.
So una maanisha hawapewi si ndio?Acheni mawazo ya kichawi.
Kama wewe ungekuwa loan officer na huwezi kuwapa wote kulingana na bajeti ungeweza kumwacha kumpa aliyesoma Mkwajuni secondary school na kumpa aliyesoma St. Anne?
Broda peleka mtoto shule yenye vigezo vyote vye elimu bora. Utakuwa mjinga kuacha kumpa mtoto elimu bora kisa mkopo wa chuo kikuu.Kwamba ukisomesha mtoto shule za private kuanzia primary ( English medium) hadi secondary ( both O level and A level) then chuo kikuu mtoto Hapewi mkopo kwa maana serikali ita assume kwamba mzazi una uwezo wa kumudu gharama za kumlipia mwanao chuo kwa sababu ada za chuo mfano ( udsm ni kuanzia laki saba hadi milioni na nusu)
Na kama atasoma private ktk moja Wapo kati ya stage hizo yani mfano ( primary - private) secondary ( kayumba ) high school ( private) atapewa mkopo wa asilimia C au D.
Wakuu kuna ukweli wowote katika hilo?
Wajuvi wa mambo njooni mfunguke please.
Umewezaje kusomesha mtoto miaka zaidi ya 13 kwa mamilioni ya pesa ushindwe kumsomesha kwa miaka mitatu/minne kwa ada zisizozidi milioni 2 ,milioni 2?Kwamba ukisomesha mtoto shule za private kuanzia primary ( English medium) hadi secondary ( both O level and A level) then chuo kikuu mtoto Hapewi mkopo kwa maana serikali ita assume kwamba mzazi una uwezo wa kumudu gharama za kumlipia mwanao chuo kwa sababu ada za chuo mfano ( udsm ni kuanzia laki saba hadi milioni na nusu)
Na kama atasoma private ktk moja Wapo kati ya stage hizo yani mfano ( primary - private) secondary ( kayumba ) high school ( private) atapewa mkopo wa asilimia C au D.
Wakuu kuna ukweli wowote katika hilo?
Wajuvi wa mambo njooni mfunguke please.
Hii nchi imejaa wajinga sana.Kwamba ukisomesha mtoto shule za private kuanzia primary ( English medium) hadi secondary ( both O level and A level) then chuo kikuu mtoto Hapewi mkopo kwa maana serikali ita assume kwamba mzazi una uwezo wa kumudu gharama za kumlipia mwanao chuo kwa sababu ada za chuo mfano ( udsm ni kuanzia laki saba hadi milioni na nusu)
Na kama atasoma private ktk moja Wapo kati ya stage hizo yani mfano ( primary - private) secondary ( kayumba ) high school ( private) atapewa mkopo wa asilimia C au D.
Wakuu kuna ukweli wowote katika hilo?
Wajuvi wa mambo njooni mfunguke please.
Hiyo sio namna ya kujitetea kuwanyima watoto haki ya kupata elimu nzuri. Kwani mkopo una manufaa gani? Kama ada ya primary au secondary unaweza kulipia mpaka milioni 2 utashindwaje kumlipia chuo milioni 2 au 1.7?.Duh kumbe nimefanya uamuzi wa maana sana kuwatoa watoto wangu kayumba ya kiingereza ( English medium) kuwaleta kayumba ya kiswahili
Neno piaHiyo sio namna ya kujitetea kuwanyima watoto haki ya kupata elimu nzuri. Kwani mkopo una manufaa gani? Kama ada ya primary au secondary unaweza kulipia mpaka milioni 2 utashindwaje kumlipia chuo milioni 2 au 1.7?.
Pia kama uko vizuri, ukimsomesha bila mkopo unakuwa umemsaidia atakapoanza kazi anakuwa hadaiwi na mtu kasoro mzazi tu. Kwa hiyo atakuwa anapata mshahara wote bila makato
Ukiangalia list ya loan board utaona. Inshort sana sana ni za uhandisi, hesabu, teknolojia na medicineNa kozi za priority kwa serikali ndiyo zipi?