Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakuaibisha bure humu.tapeli watu tumeshakujua humu.Are you sure?
AsanteMswahili tu huyo. Makazini hamna urafiki hamuelewi...kuna wafanya kazi wenzenu, NOT FRIENDSHIP. Achana nae, ila umefunzwa the hard way na huyo mswazi..pole
Wanawake wakikuona tu umetulia mpole wanakuchukulia advantage kwako ndo maana mabaharia kabla hawajakopesha wanaomba papuchi kwanza ili hata asipolipwa kashafidia kwenye utamuNash
200000l=.A
Alivyo nipanga aise haikuwa rahisi
AsanteKupeshaneni kisheria kwa kuandikishana pakiwa na mashaidi wawili na mwanasheria mmoja...tena kwa maandishi vinginevyo mnakuwa mmesaidiana...katikati uso wa Dunia usimuamini yeyote.Pole ndugu nadhani umejifunza kitu natarajia utakuwa mchungu wa pesa zako.
Mh! InaumaKama ni rafiki wa kike andika tu umempa.
AsantePole sana
Aise kumbe wapo wengiKiasili wabongo ni wazuri wa kukopa ila kwenyew kulipa inakua ni kwa tabuuuu sana.
Kama hujatumia nguvu kudai haki yako sahau kuipata.
Kuna mdada single mother aliniomba nimkopeshe tsh 30k atume kwao apatee mwanae hela ya maziwa mpk akilipwa t kazin kwake atanirudishia nikampatia ile iyo hela
Na kweli alipolipwa tu akanambia tayar nimelipwa kesho nitakupatia ile hela
Kufika siku ya 2 kimya usku nikamkumbusha vp ile hela yng akanza kuleta nahau mpk leo ni mwezi naa hajanipatia iyo hela
sio kwamba sikua na uwezo wa kumgeiya ila nilitaka nione uaminifu wake ukoje kumbe ni 0 kbs
Na anavyojitoa ufahamu sasa hajanilipa ile hela ila kila siku ananililia shida mpka leo ameniomba tsh 3000 nikamniyma sitakuja kumpa hela yangu ata iweje japo before nilikua nikimtoa sana tu
Wengine huwa tunaona ni kama tumeihifadhi sehemu salama Kwa muda kumbe ndio hivyo tenaUsimkopeshe mtu yeyote pesa ambayo haupo tayari kuipoteza.
Duh! Huko sio kuvunjiana heshima?Wakati unamchukulia kama dada utawezaje kufanya hivyo?Wanawake wakikuona tu umetulia mpole wanakuchukulia advantage kwako ndo maana mabaharia kabla hawajakopesha wanaomba papuchi kwanza ili hata asipolipwa kashafidia kwenye utamu
Kwa nini?Huyo mpe tu