Hivi ni kweli usimkopeshe rafiki yako kama ni wa kike?

Hivi ni kweli usimkopeshe rafiki yako kama ni wa kike?

Na mwanaume halisi hua hamdai mwanamke
Hehehe.... What a cheap and old-fashion manipulative statement

Eti mwanaume halisi... Shenzy kabisa, nani kakupa hayo mamlaka ya kudefine mwanaume halisi anatakiwa aweje???
 
Me saiv sikoposhe hela hata kwa ndug yng wa karibu bora nionekane roho mbaya tu
Mbongo akikwambia umkopeshe hela let's say labda anataka 100,000/=.

Mwambie Sina hiyo hela, hapa nilipo Nina 10,000/= tu labda nikupe hiyo halafu utanirudishia siku ukipata... Kisha kaa kimyaa
 
Mwanaume unapata wapi nguvu ya kumkopesha ela mwanamke.....Yan mwanamke kukukopa mwanae no style tu ya kukuomba ela Hua haturudishiii Na mwanaume halisi hua hamdai mwanamke
Ndio maana mnaonewa na kudhalilishwa kwa kukupenda vya kitonga.Kuweni komandoo kama Lady Jaydee
 
Ni kweli ,wanawake hawarudishi pesa ukimkopesha na pia marafiki hawa huwa nao hawarudishi.

Kuna jirani nilimkopesha laki 2 sasa inakaribia mwaka hata kupunguza 100 hajawai ,kuna rafiki yangu nilimkopesha elfu 50 akasema atanirudishia mwisho wa mwezi ,imepita miezi minne kimya ,kuna msoja wa Mbweni Barracks nilimkopesha laki moja huu mwaka wa 6 hajanirudishia ,wote nimeamua kuwaachia ila nishajifunza ,sikopeshi mtu pesa.
Nimechukua notes hapa
 
Binafsi ukini kopa nakupa nusu nikijua kabsa huwezi nilipa na nikijua kabsa hautawai kuja kunikopa tena. kwakua unajua ulicho kifanya .hii njia imeni punguzia wakopaji wa ovyo

kuna pimbi mmoja kazini ana lia shida kwa marafiki zangu wengine na wao wana mwambia kwa nini usi mkope flani (mimi) hana majukumu mengi saivi .
.😅
Uyu wa chini kanikosa kushindwa kutofautisha kuomba na kukopa akijua kabsa hawezi nilipa
 

Attachments

  • Screenshot_20241004_095305_Messages.jpg
    Screenshot_20241004_095305_Messages.jpg
    64.1 KB · Views: 2
Na mnaamini huyu mleta mada ni mwanaume wa aina hii, nafikiri hata mwanzoni mwa post hii amejitanabaisha kwamba huwa anawakingia sana kifua wanawake humu ambao hata hawajui....

Si ajabu wakati anatoa hiyo hela laki 2 kwa huyo tapeli Kuna mtoto wa dada yake Hana hata viatu vya shule, ila Yuko bize kuwajali wanawake Baki wasiokuwa na faida yoyote maishani mwake
Kwa hiyo kisa nimemkopesha mwanamke.Na je ningempa mwanaume mwenzangu ungesemaje?.Acha fikra dhaifu sio kila anaemsaidia mwanamke basi anatazamia maslahi ya kimalaya
 
Back
Top Bottom