jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Ndiyo maana kola wafanyacho hakina mwisho mwena na siyo matajiri wanaishia kufunga biashara.Bora wewe ulikopesha mm nilipewa nimfanyie kazi tena bila hata advance, nikaipiga ile kazi nikamaliza na siku ya kumkabidhi nilikodi hadi boda boda kumpelekea. kufika pale akaniambia hela atanipa baada ya siku mbili mbele..
hizo siku mbili ni miez kadha sasa kila nikipiga sim anasema badae kesho, kesho inazaa badae inakuwa kesho tena nimedai mpka nimechoka nimeona tu nimuachie Mungu