Hivi ni kweli usimkopeshe rafiki yako kama ni wa kike?

Na mwanaume halisi hua hamdai mwanamke
Hehehe.... What a cheap and old-fashion manipulative statement

Eti mwanaume halisi... Shenzy kabisa, nani kakupa hayo mamlaka ya kudefine mwanaume halisi anatakiwa aweje???
 
Me saiv sikoposhe hela hata kwa ndug yng wa karibu bora nionekane roho mbaya tu
Mbongo akikwambia umkopeshe hela let's say labda anataka 100,000/=.

Mwambie Sina hiyo hela, hapa nilipo Nina 10,000/= tu labda nikupe hiyo halafu utanirudishia siku ukipata... Kisha kaa kimyaa
 
Mwanaume unapata wapi nguvu ya kumkopesha ela mwanamke.....Yan mwanamke kukukopa mwanae no style tu ya kukuomba ela Hua haturudishiii Na mwanaume halisi hua hamdai mwanamke
Ndio maana mnaonewa na kudhalilishwa kwa kukupenda vya kitonga.Kuweni komandoo kama Lady Jaydee
 
Nimechukua notes hapa
 
Binafsi ukini kopa nakupa nusu nikijua kabsa huwezi nilipa na nikijua kabsa hautawai kuja kunikopa tena. kwakua unajua ulicho kifanya .hii njia imeni punguzia wakopaji wa ovyo

kuna pimbi mmoja kazini ana lia shida kwa marafiki zangu wengine na wao wana mwambia kwa nini usi mkope flani (mimi) hana majukumu mengi saivi .
.😅
Uyu wa chini kanikosa kushindwa kutofautisha kuomba na kukopa akijua kabsa hawezi nilipa
 

Attachments

  • Screenshot_20241004_095305_Messages.jpg
    64.1 KB · Views: 2
Kwa hiyo kisa nimemkopesha mwanamke.Na je ningempa mwanaume mwenzangu ungesemaje?.Acha fikra dhaifu sio kila anaemsaidia mwanamke basi anatazamia maslahi ya kimalaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…