Mimi mstaarabu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 262
- 577
Wanaume hii tabia ya kuombwa hela ni wote hampendi au wale walala hoi tu?
Naomba kujua kwanini wanaume hawapendi kuombwa hela.
Naomba kujua kwanini wanaume hawapendi kuombwa hela.
😂😂😂ili wanabahiri utupige block sioNimekuja kusoma comments tu [emoji1787]