Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 28,058
- 54,592
Inategemea na wewe ni mrembo kwa kiwango gani, kama nk wa viwango vya nyota tano huwa zinatoka bila hata kuombwa,Mwenye nazo atakupa bila kuomba
Inategemea na wewe ni mrembo kwa kiwango gani, kama nk wa viwango vya nyota tano huwa zinatoka bila hata kuombwa,Mwenye nazo atakupa bila kuomba
Ni kweli ila hizi kauli hawezi kutoa mtu ambaye hata hatma yake ya maisha hajui itakuwaje. Nikupongeze tu kwa baraka ambazo Mungu amekujalia. Mioyo hii wanayo akina Bhakressa tu na watu kama nyie.Na uzisome kwa makini...
Hata bila ya kuniomba nafahamu what are my responsibilities...
A man gat to do what a man has to do...
Cc: mahondaw
Risk hazikwepeki kwa kumgharamia, kwasababu kuna ukomo ambao huwezi tatua shida zake. Mfano demu anataka umgharamie motor car nawe uwezo wako ni wa phonex bomba mbili hapo kama atapata mtu mwenye kumtimizia hiyo shida yake basi anaweza kukuacha no matter ni mara ngapi umemuhudumiaSijajua kwa wanaume wenzangu inakuaje! ..ila kwa mtu nilie nae serious ntahakikisha mahitaji yote natimiza..ila masharti na vigezo kuzingazitiwa...mfano;
1. Ananipenda kweli?
2. Hiyo hela anaombaje..kwa adabu au namna ingine..sipendi dharau
3. Uwezo wa kifedha ..kama ipo ntatoa
4. Hilo hitaji ni la msingi?
5. Nk
Tatizo mkiambiwa hali sio kama hamna tuvumilie kidogo ..mnapayuka..bila kujua mfuko wa mtu..anasahau mema yote..huyo naweza mdelete dakika sifuri.
Note: Kumgharamia mpenzi wako ni muhimu..ili kupunguza risks mbali.mbali..mradi ajielewe.
UnamuombaNa wasio jiongeza wakatoa wenyewe.?
Mwanamke kuwa Ombaomba kwangu ni Redflag [emoji626][emoji626][emoji626][emoji626]Wanaume hii tabia ya kuombwa hela ni wote hampendi au wale walala hoi tu?
Naomba kujua kwanini wanaume hawapendi kuombwa hela.
Amen...Ni kweli ila hizi kauli hawezi kutoa mtu ambaye hata hatma yake ya maisha hajui itakuwaje. Nikupongeze tu kwa baraka ambazo Mungu amekujalia. Mioyo hii wanayo akina Bhakressa tu na watu kama nyie.
Kumbe Baba chanja ananitegea mpaka nimuombe, Ngoja sasa😬..!Unamuomba
Nagonga kiitifaki kijambazi, sista duu nikikuonga laki ntakusogeza kizazi100K??
Kama una kazi(kipato) ujiandae kujibu maswali magumuKumbe Baba chanja ananitegea mpaka nimuombe, Ngoja sasa[emoji51]..!
Jamanii, wasio nazo tu ndio wapewe?Kama una kazi(kipato) ujiandae kujibu maswali magumu
Kama ni mume na mke mnapanga pamoja na inategemea hela unataka kwa ajili gani, kama ni mambo ya anasa anasa itabidi maelezo yajitoshelezeJamanii, wasio nazo tu ndio wapewe?
Tunakulana ebooo😀😉Kama nje ya matuzi haya hakuna unachokifaidi sawa una haki ya kulalama, ila kama unapiga mzigo acha uombwe unakulaje mzigo bure eboo, hujui nawe unaitembeza miles nyingi sana kile kipochi manyoya chao, wakiolewa hawatamainiki mambo ya mutual benefits
Maelezo tuu sio shida, muhimu aitoe hiyo HELA, sio unajieleza halafu unapigwa kalendaKama ni mume na mke mnapanga pamoja na inategemea hela unataka kwa ajili gani, kama ni mambo ya anasa anasa itabidi maelezo yajitosheleze
Suala sio kuombwa pesa bali timing.Wanaume hii tabia ya kuombwa hela ni wote hampendi au wale walala hoi tu?
Naomba kujua kwanini wanaume hawapendi kuombwa hela.
Hela unapewa kama unachoenda kufanya kina tija kwa familiaMaelezo tuu sio shida, muhimu aitoe hiyo HELA, sio unajieleza halafu unapigwa kalenda
Ndio starehe yetu pendwa hiyo mkuu,hatupendi kupungukiwa.Hela unapewa kama unachoenda kufanya kina tija kwa familia
Unajua nyie akili zenu mnazijua wenyewe mwanamke anaweza akanunua nguo na kila nguo na handbag yake viatu ndio usiseme na vingine hata havivaliwi toka vimenunuliwa
Huko ni kukomoana sasa, ni bora usitoe hiyo hela nijue mojaNagonga kiitifaki kijambazi, sista duu nikikuonga laki ntakusogeza kizazi